Ujue nilitaka nishangae ati wamemsamehe [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-15 14:33:01
12
🔊⌨️Banz J music tz🇹🇿🖥 :
kama gta vicity
2026-09-15 14:59:10
7
Isha :
Camera man njoo nina zawadi yk
2026-09-15 15:07:06
8
JOH :
kisheria ni sawa au sio sawa kupigwa mikofi mbona ni accident tu 😂
2026-09-15 14:41:25
17
NGWAJIMA 01 :
camera man
2026-09-15 14:20:06
11
Stamil_Israel :
wamemh activate 😁😁
2026-09-15 18:34:14
2
MATABE 9 🇹🇿 :
Halfu mtu Anakwambia Asikari wabaya,Asikari hawezi kukuonea kama hujakosea shukurani dereva umejitahidi sana.Vinginevyo ulikuwa unampanda na basikeli yake.🙏
2026-09-15 18:53:13
16
kenyaboyjr :
Alie recod alijua kuwa kuna kitu kinatokea au maigizo
2026-09-16 05:33:09
6
𝗳𝗴 🦅 :
Ko hapo polisi waonevu ety wananchi🙌🤣
2026-09-15 20:24:04
5
INTROVERT power :
mi tungepigana hapo 😂🤣
2026-09-15 20:29:19
5
Itz me🐬 :
Camera man kuna sehem umetukosea
2026-09-16 10:21:47
2
Socond born :
kamera man nice job. na hizi ndio chalenge za kiume sasa😜😜😜😂😂
2026-09-15 19:14:10
7
Rayvedo🤟 :
😂😂😂😂 nacheka kama ni mazuri sas
2026-09-16 05:32:27
2
texas 55 hom sio safi :
leoiyoooooo😳😳
2026-09-16 07:29:35
1
Mr macha,, :
michezo hatar mwenye baskel anamaskan yake
2026-09-16 13:28:17
1
Galilaya Jr :
viganja vya kutosha😂😂😂😂 ila nyie dhambii 🙌🏽
2026-09-16 09:04:37
1
Rama kiduka :
angalieni vizuri, polisi hakuwasha endiketa mwenye baskeli alikuwa ana nyoosha kwa kujua polisi wananyoosha so haikuwa lengo lake
2026-09-16 15:54:14
3
Kib@ jr :
jamaa nae anaacha apige breki ageuze anazidi kwenda mbele
2026-09-16 18:04:24
3
To see more videos from user @jeusimr.365, please go to the Tikwm
homepage.