@sumba_ntare...old:

sumba_ntare ..old vision🦍
sumba_ntare ..old vision🦍
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 12:06:58 GMT
234337
10454
313
189

Music

Download

Comments

aishakhamis1
Aisha Khamis641 :
usikute hapo anajiuliza hii nyimbo kaimba nani🤣🤣😂🤣
2026-09-15 18:14:14
251
dalali_anna_arusha
Anna Premier Realty& Logistics :
Naomba nimsaidie aende sober im very serious
2026-09-15 20:35:51
87
colie22_
COLI22 :
my fv artst
2026-09-17 07:27:46
0
officialmary_255
Officialmary_255 :
Dullayo inuka tena bado nafasi ipo nilikuaga nakulubali sana ngoma zako mpaka nawaza uko wapi kwa sasa inuka inuka inukaaaa☺️☺️☺️🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-16 05:56:34
49
dodoma_afya_virutubisho0
DODOMA AFYA NA VIRUTUBISHO :
hiii inaumiza kama ndugu yako tuh. dulayo whats happen on yu bro
2026-09-17 05:14:23
0
godigoo2
FATAKI MTOTO :
Kina Madee wamuite na huyu aisee
2026-09-16 10:43:42
19
haruna.kulita
Haruna Kulita :
me nataka kumsaidia
2026-09-16 22:51:52
5
serhaworld1997
Serhaworld🦋 :
Crushie🥹🥹
2026-09-17 20:12:19
0
qaaassimu
YACHOPAAA :
Legend
2026-09-17 05:52:21
0
user3201136094715
Hassan🦋❤️ :
Marafiki sio watu wazuri
2026-09-15 22:04:36
13
dr.tonny_
GRAND ROUND :
CHAGUA MARAFIKI KWA USTADI SANA
2026-09-16 13:08:48
6
ney_rais
Neema :
Uo mkono anamaanisha nn
2026-09-16 06:03:28
5
user832510376165
naomsalum31 :
iv anamkumbuka kwel alieimba iyo nyimbo kua ni yeye?
2026-09-16 13:26:06
6
mkopokwajr0
Mjomba Dani :
daaah dulayo ndio amekua hiv kweli daaah😢😢😭😭
2026-09-15 15:02:34
6
violetpaulsen
Mc Violet :
waliomsaidia Chid benz naomba wamkumbuke na huyu jamani akae sawa kama Chid
2026-09-17 12:13:21
3
konshazi.mapalala
KONSHAZI MAPALALA :
mnamkumbusha mbali nahapo kashafika mbali.
2026-09-16 05:35:20
6
saulisajiro
saulisajiro :
pombe na madawa ya kulevya yana tuhalibu vijana .imagne ange kuwa ndugu yako. anacho pitia dulayo na mm ndo hicho hicho napitia
2026-09-16 08:44:41
6
user3011304437268
swax smart furniture :
Hakuna kitu kinauma kama kupoteza inauma na ikuua taratibu usiombe hyo hali tunapitia wengi na maumivu nayajua
2026-09-16 11:31:39
9
mwakalobo28
Toney yayoo :
daaah kma mipango ya mungu Sawa lkn kma ni ya Binadamu Mungu toa hukumu wewe
2026-09-18 13:27:07
0
letician.lenny
Letician Lenny :
Mbona yuko hiiii
2026-09-16 16:35:58
1
user235761633222
user235761633222 :
Pombe sio sigala, jamani anajiuliza kweli ni Mimi niliimba huu wimbo
2026-09-16 18:22:04
1
user1232133658055
waziri adam :
usikute hapo anasema hii nyimbo kaimba mond
2026-09-17 10:53:20
2
rachel.mushi5
R cute♥️✨ :
nyie Aya Maisha daah 😳😭🙌
2026-09-16 11:09:26
0
gadafi_26
GÂĐĄFÏ_26 :
dulaaaaaaaaaaaaaaaaaaaayyo 🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-16 05:19:40
4
kelvin_emmanuel07
kelvin_emmanuel07 :
Dah haya maisha hakuna anayejua hata sekunde moja ijayo itakuwaje
2026-09-16 20:04:56
2
To see more videos from user @sumba_ntare...old, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About