@kidu_works: Mfadhili na Rais wa Mighty Wanderers, Dkt. Thomson Mpinganjira, amesusa kuendelea kubeba majukumu ya kifedha na kiutawala ndani ya klabu hiyo, baada ya kukerwa na kipigo cha 6-1 dhidi ya Simba SC, kilichofanya Wanderers kupoteza kwa jumla ya 7-1. Kupitia barua yake, Mpinganjira amesema amesikitishwa na kiwango cha wachezaji, akimlenga zaidi kipa wa timu hiyo, pamoja na benchi la ufundi kwa kushindwa kufanya mabadiliko ya kimkakati kwa wakati. Amesema amekuwa akiwekeza fedha na rasilimali nyingi kwenye klabu hiyo, lakini kiwango cha kujituma uwanjani hakijaendana na uwekezaji wake. Mpinganjira amesema kuanzia sasa ataendelea kuwa mshabiki wa Wanderers, lakini hatabeba tena mzigo wa kifedha na kiutawala wa klabu hiyo. #tiktoktanzania🇹🇿 #simbasc #trending #viral #fyp
Mahmoud Mwanzemo
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 12:07:41 GMT
Music
Download
Comments
Shyner :
Simba hata asingemfunga zote hizo isipokuwa dharau ndo zimewaponza... wangewaheshimu Simba wangewafunga moja tu.... au sare.... dharau mbaya
2026-09-15 19:34:16
6
chimamiiy🦋🌺🐹 :
sasa nani atawalip mshahara wachezaji hii si sawa
2026-09-15 19:07:25
1
mzeeabdullatifu :
simba ni hatari kuna timu huwa zinafukuza makocha kila wakati na ni timu kubwa
2026-09-15 15:53:57
5
Temboboss 3D :
uyo alikua anatafita sababu uyo 😁
2026-09-15 20:29:54
0
siajerry :
Mpira huooo
2026-09-15 20:30:24
0
A.P.N :
ila simba
2026-09-15 20:35:34
0
DAMY CLIMAX💎💎 :
hayaaaaa
2026-09-15 15:12:23
0
Tinnah💕💕 :
kwisha wao 😂😂😂😂😂
2026-09-15 15:33:15
2
Abdul :
😳😳😳😳Simba ninyi! Mungu anawaona😳😳
2026-09-15 19:00:16
1
theonestanthony92 :
wamewekeza kwenye mdomo ndo shida wanashindwa kuheshim wapinzan
2026-09-15 18:14:45
3
mkemia _wise :
hii ni simba sc siyo nyasa big bullets asiwaonee hawa watoto jaman lunyasi ni AFRICAN CHAMPION. 😂😂
2026-09-15 18:32:02
2
𝓛𝓾𝓷𝓪♡ :
Simba wafanya kufuru [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-15 18:57:05
0
Mubaraka mtallo :
bos hapatanzania kunatim nyingisana zinaitaji udhamin nazitakipa nafasiyakupata unachokiitaj
2026-09-15 18:50:49
0
kibendera 🚩 :
aende zake uko cc tuna GSM😏
2026-09-15 19:40:33
0
$Professor-Tz :
Umekunwa tuu unasusa😅😅
2026-09-15 19:10:14
1
Yelemiahtv :
kwani kawekeza shilingi ngapi 🤣🤣🤣
2026-09-15 18:16:58
0
ndekileally :
uyu nae hafai
2026-09-15 18:53:44
0
♛꧁𝑷𝒂𝒓𝒐𝒄𝒄𝒐༒ :
Mbona Anakata Tamaa Mapema Mpira Sio Lori Kwamba Ukinunua Tayar Unabebesha Mzigo Mzito 😂
2026-09-15 19:37:06
1
💙 🌴 DINO 💦🤩 :
😂😂😂
2026-09-15 14:59:45
2
daudi sendero :
😂😂😂
2026-09-15 18:14:17
1
Yaram :
👍👍👍
2026-09-15 18:38:25
1
Lemanau Maleki :
🥰🥰🥰
2026-09-15 18:39:02
0
user8144850826015 :
😳😳😳
2026-09-15 19:09:50
0
Buhama :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-15 14:32:37
1
To see more videos from user @kidu_works, please go to the Tikwm
homepage.