@lilymediaa: kauli kutoka Kwa kijana mmoja ambae hivi karibuni clip yake ilisambaa akitenga mafungu ya matumizi fedha katika mafungu hayo alionekana akiweka pesa nyingi sehemu ya kula maisha Sasa kauli hiyo Kwa sasa inazidi kisambaa duniani na sasa imefika ulaya #kijanawakulamaisha #nextmatchazamvssimba #trendingviralvideo #yangavsgeitagoldleo#viralvideotiktok
kula maisha kula maisha kula maisha wazazi kula maisha kula maisha kula maisha man u
2026-09-15 13:14:28
15
GinimbitzMkatoliki :
Kwa wasiomjua Huyu Dogo alizaliwa, Tanzania kasoma Alliance na alikuwa anaishi Kawe. Babu Yake ni Richmond wale wa siasa kama mnakumbuka Sakata la Richmond. so anajua Kiswahili. Ni mtanzania Kwa Kuzaliwa Kwa sasa anakipiga Man City junior. anaitwa Derick halighton Richard Ukienda ku search kwenye tktok yake utakuta Picha na video nyingi akiwa Tanzania, ngorongoro, mikumi na manyara. Wanamiliki Mgodi Wa dhahabu Pale Geita. Hata Hivo ni Vizuri kuwa Makini sana Na Comment's za TikTok mda mwingine hazina Ukweli