@chawamata_tv: VIDEO: Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa, ametoa agizo hilo akiwa mkoani Arusha, alipomwakilisha Waziri wa Ofisi hiyo, Hamad Masauni, katika ziara ya kikazi. Kwagilwa amesema baadhi ya magari ya Serikali yamekuwa yakitumika kubeba mkaa, jambo ambalo amesema linakinzana na juhudi za Serikali za kupunguza ukataji wa miti na kulinda mazingira. Amesema ni muhimu taasisi za Serikali kuwa mfano katika utekelezaji wa sera na mikakati ya matumizi ya nishati safi, badala ya kushiriki katika shughuli zinazoweza kuongeza uharibifu wa mazingira. Kwa mujibu wa Naibu Waziri huyo, hatua hiyo ni sehemu ya mkakati mpana wa Serikali wa kuongeza matumizi ya nishati safi nchini, huku ikilenga kufikia mwaka 2034 ambapo asilimia 80 ya Watanzania wanatarajiwa kuachana na nishati zinazochochea ukataji wa miti na kuhamia kwenye nishati safi. Hatua hiyo inalenga pia kupunguza utegemezi wa mkaa na nishati nyingine zinazochangia uharibifu wa misitu, sambamba na kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala kwa wananchi na taasisi mbalimbali nchini. #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #DarEsSalaam #Tanzania #Bongo #Habari #HabariLeo #BreakingNewsTZ #TanzaniaNews #BongoUpdates #TzUpdates #TzNews #BongoMedia #MediaTanzania #OnlineTV #trendingreels♥️ #tanzaniatrending #polisiviral #Asanteni #tanzaniatrending_habari #tanzaniatrendingsong #mediatanzania #tanzaniatrendingvideos #tanzaniatrendingstory #TanzaniaTre #madeintanzania🇹🇿 #madeintanzan #madeintanzania #SupportLocal #madeintanzaniat #roadto100followersontwitch #madeintanzaniawith #chawamata_tv #viraltz

CHAWAMATA TV
CHAWAMATA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 12:21:27 GMT
16666
369
18
47

Music

Download

Comments

aniceti.njigula
ᎯℕℐЅℰᏆℐ ℕᎫℐᎶUℒᎯ :
bado mnamgusa dereva yule yule 2
2026-09-15 14:34:10
1
user1686001759253
user1686001759253 :
mbona wanambemba na abiria
2026-09-15 14:11:26
0
user4291078768255
nico one :
nzur iyo kama maliasilia wanajikuta wakamataj alaf wanaenda kuuza kwa bei ndogo.
2026-09-15 13:07:27
1
mwasitihussen542
Mwasiti Hussen :
fact
2026-09-15 16:49:55
0
user54038817619824
Dionizy :
gas ni shilingi ngap
2026-09-15 17:12:16
0
yudamrina
Yuda Mrina :
Unayo hayo Mamlaka au ndio kutuchanganya.
2026-09-15 18:05:23
0
atomika.jr.santos
atomika Jr Santos :
hyo ndo umeyaona mzeee hya ya kwetu kutwa point huongei kabisa sawa
2026-09-15 13:34:33
0
wasafi__media
vin diser :
2014 tulikuwa na truck sm tan 7 tunatokea kigoma tukanunua mkaa nyakanaz maanaa waagizaji walikuwa wengi watumish belia ya ushirombo pale wakatukanganiaaa tukaacha zote koz walitaka pesa ming zaidi ya mzigo
2026-09-15 19:29:07
0
michaelmpessa223
Michael Mpessa :
safi sana
2026-09-15 14:10:24
0
kiroka52
kiroka :
nliona gar ya tanesko ina gunia 15 nyaka ura. mizani ina shusha kweli kabisa
2026-09-15 13:30:14
0
kandayaziwa_14
Kanda ya Ziwa :
Yan badala mzungumze kuhusu habari za point mko bize kutafuta habari za mkaa. Ama kwel madereva hatuna mtetezi. @chawamatatv kwel mnapost vitu ambavyo havina msaada kabsa kwa dereva katika kipindi kama hiki😥😥
2026-09-15 18:36:35
0
md556304
MD :
Maneno yanayoweza kuwa magumu sana kuyatekeleza,
2026-09-15 17:34:56
0
husnat.salum
husnat ❤❤ :
madereva,mwak wenu
2026-09-15 14:09:14
0
adeecom255
Adeecom :
tunajua unatumia umeme kupikia
2026-09-15 13:21:30
0
prince_bright255
Prince Bright 👑 :
😏
2026-09-15 15:15:45
0
To see more videos from user @chawamata_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About