Tanzania 🇹🇿 is better than Angola,,shida ni samia na majizi wenzie ccm
2026-09-15 17:36:49
200
Anyway Uncle Santa :
I'm from west Africa Guine Bissau 🇬🇼 Portuguese spoken country, but Tanzania 🇹🇿 is my dream country, if I have to born again in my next life, Tanzania 🇹🇿 is my dream country, I do never been to that country but I love that country.
2026-09-17 02:20:51
130
"S."M".J".@officiall🔥🦺✨️ :
ilove my country tanzania🥰
2026-09-24 05:25:10
2
Vibe ~Scott~ ⏳️🌵 :
pasingekua na ufisadi tanzania ingekua ivi
2026-09-16 08:07:29
66
Complex_Jackal :
Hii sio TZ hapo ni dar tuu bhana … hatuwafikii Angola 🤣🤣🤣
2026-09-17 03:32:52
30
PIEREE :
Iyo sio Tz nayo ijua mm labda feature Tz
2026-09-16 16:44:07
27
full editor :
tanzania
2026-09-24 15:34:03
0
Anode :
tz ukiyona kwapicha inapendeza sana fika jirani sasa 😁haibu utaona ww 😅
2026-09-15 19:38:58
39
finah :
I'm from Tanzania but Angola s the best
2026-09-16 10:31:49
6
Musti🧒de puncher👊 :
Sema DAR vs Angola na sio TANZANIA kwa ujumla.
2026-09-16 16:17:10
24
kimwanya cute 🥰 :
me mtanzania lakin Angola nzuri bahna
2026-09-16 20:53:17
8
masanja japhet :
kila mtu anajikubali kwao ata paweje tunao jikubari na nchi yet tanzania 🇹🇿 gonga like hap
2026-09-16 07:08:05
21
kumona :
mbon visiwa vya karafuu hujaonesh km kweny tanzania 🇹🇿?
2026-09-16 04:27:28
6
S A D I M U :
im Angola but tanzania 🇹🇿 is the best
2026-09-19 09:53:34
6
Jerry boy :
we nae kila mda tanzania hubadili picha
2026-09-15 15:20:20
5
maryam Punjil :
am American but my dream county is Tanzania
2026-09-17 16:28:37
6
Haso za Mjasiliamali org :
hapo sema Angola na dar ,sio TZ
2026-09-18 13:06:43
5
ابن كتاني :
uzuri wa nchi yetu sio Dar es Salaam tu na sio kuonesha majengo na miundombinu ya kisasa tu tuna vingi mno vya kuionesha dunia kama vile milima mizuri iliyopo na mandhari Safi za asili yaan nature,mbuga za wanyama nk tusioneshe Mji mmoja kuiwakilisha Tanzania 🇹🇿 nzima
2026-09-16 18:11:38
7
Kufa lazima :
Tanzania yetu 🇹🇿 ♥️
2026-09-15 22:53:46
8
nelison peter :
nice Tanzania 🇹🇿
2026-09-15 13:54:50
9
Kowero :
I am from Kenya, but Tanzania has the best one.
2026-09-17 14:28:01
6
Rama 05 :
twende mbele turud nyuma wenzetu mij yao ina barabara kali
2026-09-15 23:00:14
5
MDJ :
kumbe na sisi hatupo nyuma ee
2026-09-15 15:37:21
5
saimon :
achen utan mm ni mtanzania lakin fuatilieni Angola vizuri na uchumi wake mtakuja kuniambia Niko pale mwanzaaa
2026-09-23 18:46:41
1
Tabitha :
hivi mnajua kwamba dar ya kwenye picha kama hiv ni kali vibaya ila kwa uharisia wa kawaida mmh au ni mm2 jaman😂
2026-09-24 19:21:12
1
To see more videos from user @rifaakh.harifa5, please go to the Tikwm
homepage.