@robbyplatnumz: Baada ya kumkabidhi dogo Mgodi wake wa Dhahabu kutoka kwa @kamage_og sasa namrudisha kwa baba yake @diamondplatnumz anasema kesho ataenda kuangalia mechi ya @simbasctanzania vs @azamfcofficial na atakaeshinda atashangilia nae mwanzo mwisho dam yangu @naseeb.junior