Habari za saizi bro samahani sana mimi ninashida kweli sina baba wala mama. nina mtto mmoja na sina kazi yoyote ila shida yangu nikasomehee udereva ili niweze kuyamudu na kuyaendesha maisha yangu. Ninachokuomba unisaidie ni ela ya kwenda kusomea udereva na kupata lesseni ya udereva
bro kama kweli ukinisaidia kwa moyo wako wote na wa upendo basi nakuhaidi nitaenda kulipia na kuanza mara moja ayo mafunzo ya udereva na nitajitahidi kwa uwezo wangu wote ili niweze kupata lesseni kaka yangu
2026-10-15 14:27:07
1
rouyaam :
kaka nisaidie laki 2
2026-09-17 18:12:28
0
vasco@23# :
kaka samahan naomba nisaidie laki tatu nina shida kwer mke wangu anaumwa na hapa sina hata pesa naomba nisaidie kaka ang
2026-10-09 10:39:36
1
Nillan❤️🔥❤️🔥 :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-20 05:30:49
1
official nick :
🥰🥰🥰
2026-09-30 14:58:14
0
To see more videos from user @moonstarbillionaire3, please go to the Tikwm
homepage.