@jamiiforums: DAR: Mkurugenzi mstaafu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (#LHRC) Dkt. Hellen Kijo-Bisimba, amesema hayo Septemba 15, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani. #JamiiForums #Demokrasia
JamiiForums
Region: DE
Tuesday 15 September 2026 14:13:33 GMT
Music
Download
Comments
huyu ni mama yangu wa ubatizo , nimeshamuwahi mtu asimguse!
2026-09-15 15:41:01
296
johanesemmanuel :
Inaumiza sana[Teary eyed]
2026-09-15 17:55:49
0
Tungu :
Tukiachana na hayo yote mm nataka kufahamu hzo maiti zilipelekwa wap?
2026-09-15 15:19:25
121
user711235653081 :
Hivi wachungaji kkt sijawaona kwenye siasa
2026-09-15 15:41:59
27
kaizilege Mahmood :
Drt Kijo Bisimba Allah akujalie afya njema Inshaallah Tanzania kwanza!!!!!!!!!
2026-09-15 15:44:57
44
maisha plus :
ccm ikumbuke tuu ubaya ni deni linalosubuli kulipwa ipo cku watalipa aijalishi litachukua mda gani ila watalipa tuu
2026-09-15 15:33:54
28
BEA SIMBA :
in god we trust 💯🙏
2026-09-15 15:56:56
0
EMMA :
True mom
2026-09-15 18:44:14
0
Joseph Japheth :
mama nimewekwa jela mwezi na week 3 bila sababu na walinivunjia mlango nikamuacha mke wangu ana ujauzito karibia kujifungua
2026-09-15 16:06:29
15
zanzibar :
tatiz lengo leng ilikua ni kuuvuruga uchaguzi ufeli lkn mumefeli
2026-09-15 16:40:29
9
ADMIN✅ 🇹🇿🇿🇦 :
Huyu ni bibi angu kabsa🥰
2026-09-15 15:39:37
15
urocke23 :
Exactly
2026-09-15 15:39:25
0
Andrew Simon :
mtu Wa maana sana
2026-09-15 14:28:20
27
PRECIOUS 🦩 :
katika baadhi ya binadam timamu na wewe bibi angu upo timamu 🥰🔥🔥
2026-09-15 16:34:28
11
Naftary Mgoye :
huyu sasa ndo dkt 💪
2026-09-15 15:34:45
16
Neemasilayo :
Mama naomba niwe mwanao
2026-09-15 16:18:13
7
Vee💰🦀 :
Shangazi yangu nimemuwahi♥️♥️♥️♥️
2026-09-15 17:24:39
7
hezron mwakajumba :
safii mama❤️🩹
2026-09-15 16:08:00
5
Rauhia :
Nimemuwahi uyuu ni mana angu mlezi wa kiriho
2026-09-15 17:32:21
6
mama Alvin :
asante mama mzur
2026-09-15 15:18:58
10
mr MWAKA MBURA :
bibi apewe ulinzi jaman
2026-09-15 16:22:46
5
mukesh :
MBONA MNANG'ANG'ANIA WATU KUUWAWA ??? MBONA HAMUONGELEI WALIO HAMASISHA UVUNJIFU WA AMANI ????
2026-09-15 18:17:19
1
saantz :
sisi tulipiga kura
2026-09-15 16:12:26
0
6thgeneration :
Wilayani kwangu tulipiga kura Kwa utulivu mkubwa sana na kulikuwa hamna shida yeyote.
2026-09-15 17:37:13
2
To see more videos from user @jamiiforums, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.