@moradioke88.2fm: #fyp #foryoupage #fyppppppppppppppppppppppp

Moradioke
Moradioke
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 15 September 2026 14:22:12 GMT
107450
3519
103
1157

Music

Download

Comments

kandymalikia.8.8
💸𝔻ᴏ𝔩𝔩𝕒𝐫⚜️✨𝗞𝕒n𝐝y🩷💙✈️ :
sasa mntaka wawe vipi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 19:33:16
1
user2373406930492
Aiem- Noor🦋 :
Siwezi omba mtu pesa kama huwezi kutoa bila kuombwa bs😂😂
2026-09-15 21:20:17
163
dee856953
Dee 😊 :
Ngoj nipost status itanifikisha 2027 😅😅😅
2026-09-15 21:27:54
0
teddyanton5
Teddy❤️ :
HAWEZ KUTOA PESA SABABU MM MWENYE SIEZ MPA MWILI WNG
2026-09-16 04:43:30
26
angeldonko01
Angel donko 🥰❤️🎯 :
Moja kwa moja status
2026-09-16 05:17:33
9
bee.craftadia.com
Leahmussa :
na sitoka nimuombe mtu pesa😅😅😅😅😅😅
2026-09-15 20:02:36
22
raymoo77
💖 SPA Box🤍 :
Kwan tears of joy ndo imoj za machoz
2026-09-16 03:27:56
0
lilimosse.001
Lilianne🙈 :
M2 anaombwa January mpk umsmbue Sana anakuja kukupa august ya nn sasa siku hiz 2tatafuta zetu
2026-09-16 04:30:46
12
lizy.grl
Lizy grl💞 :
tia elaaaa hahahha hi mpya[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 21:03:36
0
amayla539
Amayla :
Tunatafuta za kwetu siku hizi kwa upande wangu siombi mtu pesa, akijiskia kunipa ni sawa na asipo jiskia kunipa pia nisawa
2026-09-16 04:09:04
10
sammyd349
mamuuuuuh :
awatupi ata tukiomba😂😂😂
2026-09-16 05:10:02
2
dorice4604
dorice :
Kila siku kuna mchongo anaskilizia 😂😂
2026-09-16 04:51:43
4
msngajilo1
Ms ngajilo♥️ :
nikiomba mala Moja inatosha
2026-09-16 06:00:54
1
official_catherin
Catherine store🛍️ :
Asa kama unaomba anasem Ana maisha magumu utafanyaj
2026-09-15 20:10:17
7
juju14422
@juju :
Kma hajiongez kunipa me yanini nmwombee😂😂😂
2026-09-16 03:38:32
2
salome.benson8
Regina Genay :
kila siku dua
2026-09-16 05:40:56
1
oliver.shayo3
Ebony🤎 :
Niongee kwa kusimama au kwa kukaa
2026-09-16 06:54:14
2
irine.baibe
MRS,me❤️ :
Mimi naye siwezi omba mtoto wa mtu pesa yake kila mtu abebe tu majukumu yake😏
2026-09-15 22:00:16
3
intelligenceofficer09
Dayana :
Kwan comment section mnashida gan na hao jamaa zenu mbona huyu wangu ananipea ata tu nkimwambia babe naenda kutembea anauliza una hela namwambia hapna ananambia we chizi kweli sa unaendaje kutembea bila hela 😂😂😂na ananipea
2026-09-16 05:32:54
1
eliza73725
Eliza :
mbona .munatuchanganya sasa twende upande gani😂
2026-09-16 04:48:51
1
zuu.chibeby
zuu chibeby :
jaman hawa nao wanatuchanganya
2026-09-16 05:21:43
2
abdass001
Chimamaa :
Bwana mwatuchanganya sasa hivi hautaki pesa zenu tukuomba hatuwapendi tusipoomba hatuwapendi
2026-09-16 05:20:24
1
nixasmtajagmail.c
[email protected] :
hivi ninyi wandishi kwahiyo mnataka nimpatie pesa nimemuoa au chakwanza hatuwaelewi mala mnasema usimpe mpenzi wako pesa mpaka umuoe tunataka jibu moja tuwape au tusiwape nataka jibu? 😳😳😳
2026-09-15 20:00:58
1
user9756063203526
musyoki :
ss nikimuomba ywanambia hana kila saa n ywafanya kaz ,ywalipwa vizur 🤣
2026-09-15 19:30:10
2
To see more videos from user @moradioke88.2fm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About