@abdulatifuhamdani: #shekhe_walid_al_had🇹🇿🇹🇿🇹🇿

abdulatifuhamdani
abdulatifuhamdani
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 14:30:25 GMT
173182
23174
189
1530

Music

Download

Comments

mama.boyz792
mama boyz :
niandie jmn hi aya ya Alamtara
2026-09-16 12:28:48
0
jafferymanawaa
Inst jaffery :
nilijalibu nikiwa nimepanda juu ya mnazi kilichonikuta[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-16 13:18:28
0
nutrnst.sumayyahtrixah
sumayyahtrixah :
acha njaribu labda na ndoa yangu itateremshwa
2026-09-15 19:09:17
24
annuh644
Annuh :
Suratul ALAMTARA KAIFA FAALA RWABUKA
2026-09-15 18:18:36
15
ibrahim.m..hamza
Ibrahim M. Hamza :
Kuna siku nilimsikia Mazinge akitaja kisa kilichomtokea Congo. Walipokutana na mtu anayeabudiwa na yule mtu alikuwa alifanya tukio la kukaa hewani kwenye anga bila ya kujiegeza Kwa chochote. Basi Mazinge kasoma tu Hio Surat tul fill mara kumi na Moja; na huyo bwana akaanguka. Tangu hapo Mimi na Alamtara ni Kila baada ya swatul fajri, mara kumi na Moja. Jaribu Alamtara Kila siku; utaona mambo mpaka ukisimulia mtu kukuamini ni vigumu. Alamtara bwana...
2026-09-16 20:09:43
12
muhammad.jml
Muhammad jml :
thank you alot
2026-09-16 11:13:13
0
therise83
The rise medical equipment :
Mm nlifanya kweli hawakunitafuna
2026-09-15 15:09:56
27
chance.popa
hanss popa🌴 :
shee wangu upo vizuri nakukubali san
2026-09-15 16:59:39
12
atakalomollah
Atakalomollah√____tz📞 :
Nina ushahidi ALIHAMNDULILLAH
2026-09-15 20:08:24
8
sir_leh1
Sir_leh :
nimekamata sana nyuki kwa sura hiyo mpaka leo🥰
2026-09-16 09:13:23
5
shabir_jamada22
Shabiri :
Allah ndie mjuzi wa kila kitu Allah Akbar
2026-09-16 14:10:32
2
hadija.ibrahimu1
Hadija Ibrahimu :
AMN
2026-09-15 14:34:52
10
jamilahissa668
jamilah issa :
Alhamdulillah nitaisoma Na Nia Allah anijalie mume nimechoka Na upweke[Heartwarming] subhannaAllah
2026-09-17 04:28:36
1
vdhaheer
veer dhaheer :
mim mamangu aliniambia ni dawa ya kumkamata nyuki na niliwahi ifanya😂😂😂
2026-09-16 14:46:09
3
aishahussein1234
Aisha Hussein@bb :
utotoni nami nilifanya na ikawa kweli. kaasfim x7
2026-09-16 10:24:08
0
user2831376810113
user2831376810113 :
mashaallaah mashaallaah Allah Akupe Afya njema Allah Akulide namabaya Yasikufike Amini Amini Amini Tunakupeda sana 🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️♥️♥️♥️♥️♥️
2026-09-16 16:59:57
2
nitekela1
Nitekela update :
Tumeshika sana manyigu
2026-09-15 16:09:46
5
user2818014873161zzouh
zulfa mandia🇹🇿🔥🌹🇦🇪 :
waislam sis mbona shehe unajitoa samahan lakin
2026-09-16 12:39:38
3
mohammedpunja7
mohammedpunja7 :
Maashallah sheikh waleed Allah akulipe kheir inshaallah
2026-09-15 14:51:56
10
blackchayna_
🌴Mchina🌴 :
Amesema ni kwetu sisi (kana kwamba yeye si miongon mwetu) Allah amhifadhi
2026-09-15 18:35:17
0
official.maryana1
Official M. Aryana :
Hy nnaushuhuda nayo nshakamata San dondor nlivyokua mdogo 😂😂😂
2026-09-15 19:42:16
3
ndungulu.denis
Ndungulu Denis :
MASHAALLAH
2026-09-16 04:23:49
2
kimboikerz
shafiimagelele :
kwel kbs
2026-09-15 15:05:11
3
professor_d55
prof_D :
Allah Akbar
2026-09-16 11:00:49
1
ukhty.halima8
ukhty Halima :
Ukisoma mpaka mwisho unang'atwa 😂😂
2026-09-16 04:04:18
0
To see more videos from user @abdulatifuhamdani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About