@davisnziku3: ila Zanzibar😂😂😂

@davisnziku
@davisnziku
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 14:30:17 GMT
172958
7035
1921
250

Music

Download

Comments

sabrajuma77
sabrajuma77 :
As much as we are understanding one another, that's is what matters the most
2026-10-17 18:37:22
0
kimadi._.jr2
kimad._.jr :
Tanganyika hawawez kusema tumefiliwa wanasema msiba wanaogopa kusema tumefiriwa😁😅🤣
2026-09-16 06:41:39
595
mekly57
mekly :
sema barabara ya kwarara ime parwa
2026-09-16 06:34:44
191
mamymayra2
Sinyorita :
Helicopter wanasema Apricota 🤣
2026-10-16 11:38:23
0
abdially96
Abdi Abshad. :
Tanganyika hawawez kusema barabara wanasema BALABALA 😂😅😂
2026-09-15 18:23:24
252
binalitoursandsafaris
BIN ALI TOURS AND SAFARIS :
naendelea kusema kwamba kuna watu hawatoboi bila kuitaja zanzibar 😁
2026-09-15 19:48:49
192
user3116185861588
gboy eden10 :
pia hatusemi mimi tunasema mie.....proud to be Zanzibarian❤️❤️
2026-09-15 15:23:35
312
yahya.ali5294
Yahya Ali :
wabongo Barabara wanasema Balabala. Mpira wanasema mpila. Raha wana sema Laha. ila yote kwa yote Zanzibar ndo kitovu cha kuzungumza kiswahili sanifu.
2026-09-16 04:35:34
73
cutesabra
Iamsabra :
Zanzibar hawawezi kusema hospital wanasema sipital
2026-09-16 15:58:26
17
dk..mdash
D_k :
wa Tanganyika hawawez kusema Rama wanasema lama
2026-09-15 20:43:23
44
shibuy25
shibuy :
Sie hatuli Ugali tunakula wali
2026-09-15 15:28:23
36
sashamoney4
Sasha Money🌺 :
moja wanasema moya 😃
2026-09-16 19:59:06
12
babymummy30
baby mummy :
nyanya wanaita tungure 😂😂,jojo wanaita ubani 😂😂🙌🙌bomba wanaita mfereji 😂😂
2026-10-07 09:02:51
5
mbashiromi
Bin mbashir :
watanganyika hawawez kusema sayari wanasema sayali . feri wanasema feli. kufiliwa wanasema kufiriwa
2026-09-18 19:56:46
8
issamaget525
Issa Maget :
tanganyika hawawez kusema kura wanasema kula tanganyika hawawez kusema raha wanasema laha😄🤣🤣
2026-09-15 20:30:07
7
user26555029545706mamy
ALHAMDULILLAH ALA KULI HALI :
Tanganyika hawawez kusema karume, wanasema kalume[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-20 06:03:31
5
_.ayooni_
Ayooni :
Zanzibar ni nchi pekee inayosema kiswahili fasaha na kizuri 😂
2026-09-16 10:15:07
6
sashamoney4
Sasha Money🌺 :
ambulance wanasema ambales😃😃😃
2026-09-16 06:22:18
7
babupolithii
babu polithi :
Tanganyika mpira wanasema mpilaa. karibuni wanasema kalibuni. pilipili wanasema piripiri.
2026-09-16 06:53:44
6
suleiman.daudi4
suleiman daudi :
mungu atubariki wazanzibar
2026-09-16 08:50:23
5
nasma.malki
NAAH :
Tuachieni Zanzibar yetu☺️
2026-09-15 21:12:10
11
kassimmohammeds
KATEL📱 :
Tanganyika hawawezi kusema Pauro wanasema chepe😂
2026-09-16 05:32:47
23
mrfixer00
Mr Fix305 :
Tanganyika hawawezi kusema Rashidi wanasema LASHIDI😂😂
2026-09-16 17:02:08
13
sheryne70
sheryne :
watanganyika hawawez kusema urojo wanasema ulojo
2026-09-15 20:45:58
77
man_yuser_baruti
* Man Yuser :
hawawezi kusema ushanielewa vizuri wanasema ushanifahamu uzuri 😂😂😂😂
2026-09-15 17:46:16
5
To see more videos from user @davisnziku3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About