Naamini mimi nitakuwa ngano na siyo makapi kwa jina la yesu
2026-09-15 18:14:45
31
Jones Augustine :
Kama uzuri huo wa sura uwe utu wa ndani pia utakuwa umebarikiwa sana hapa duniani mama
2026-09-17 03:54:41
6
Yael :
Mungu atusaidie siku ya mwisho tuwe ngano iliyo safi
2026-09-16 03:55:43
5
Ruth❤️❤️❤️ :
jina la.wimbo please
2026-09-16 07:55:53
3
Chosen Generation :
maisha ya mwisho tujitahidi na Mungu atusaidie tuwe na mwisho mwema
2026-09-17 12:12:04
1
hi, it's Lizzie collection :
unataka kurudia natural eeh
2026-09-15 19:23:56
1
Faith.F.B :
siku ya kurudi kwa bwana Yesu,,God forgive us
2026-09-16 11:48:52
4
annah123🌺🌺 :
jmn huu wimbo nikisikiliza ad naogop 😢😢
2026-09-16 10:36:21
3
sheryl.de .leez :
ilike the song
2026-09-16 11:10:10
1
Missybawse1_Stylish center :
Nikisikia huu wimbo nabadilika kimatendo haraka sanaa unanikumbusha kumrudia mungu na kufanya yaliyo mema eeeh mungu tusamehe baba🙏
2026-09-16 08:40:19
3
Uwingabire clotilde :
mtu anaweza okoka ju yahiyi wimbo
2026-09-16 19:49:01
3
nanàGetrude Zainabu :
nimejifunza kuwa tayar wakati wowote
2026-09-17 06:49:11
2
jojolii :
yaani huu wimbo kila nikiusikia nasikia ukinigusa Hadi rohoni yaani nashindwa nielezee nausikiaje jaman daaah Hadi kichozi kinadondoka tu tubuni kila dakika
2026-09-16 16:13:49
3
NORAH :
huu wimbo ukiskiza na akili timamu bila ujeuri wa kijinga utabadilika na kumrudia mungu bila mtu yeyote kukwambia neno lolote
2026-09-16 15:20:24
3
🍎mumy nice🙏 :
tuache majingambo nazalau
2026-09-16 12:41:21
1
maydatumpale07 :
nikisikiaa hu wimboo naogopa sana😢😢😢
2026-09-16 16:13:05
1
etc Exodus KNox :
Toba
2026-09-16 16:22:36
1
Fortunatus Liberatus :
naomba jina la wimbo nimeupenda sana et 👏🏻
2026-09-16 15:22:14
1
dadydaughter ♥️♥️ :
naomba uninambie jina la wimbo
2026-09-16 08:50:44
2
stela vasco :
nikisliza huu wimbo huwa nabarikiwa sana huwa natafakal juu ya hy sku ya mwisho itakuwaj🤱🤱
2026-09-15 18:29:05
2
user8059619603926 :
kwl dada
2026-09-15 19:30:37
1
WEKA2WEKE :
hiyo ni wimbo wangu wa taifa mtu anaetaka anicheki chapu sio vitu vya kunyimana hivi MUNGU akubariki sana
2026-09-16 12:36:24
2
Born To Shine :
cute 💞
2026-09-19 07:30:24
0
peternyamu9 :
Amen
2026-09-18 17:54:55
0
igeorgewas :
🥰🥰🥰 sikiliza pia na og yake, Siku Moja by Solomon Mkubwa
2026-09-15 19:01:32
1
To see more videos from user @_mrainer, please go to the Tikwm
homepage.