@kawanga18m: PART2 MJOMBA ABDUL😂😂🙌🙌 “Kama una mpango wa kununua jiko jipya, ngoja kwanza! 🔥 Nunua @jiko_la_pinetech muonekano safi, imara, na wanakupa warranty ya mwaka mzima. Kabla hujanunua jiko, wapitie hawa kwanza. @jiko_la_pinetech Wanapatikana kariakoo darsalam na wanatuma kwenda mikoa yote majiko kwa mfumo wa ges na umeme yote yapo . 0759 027 296🔥”

Kawanga18M
Kawanga18M
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 14:46:17 GMT
152514
9115
807
246

Music

Download

Comments

pretty45493
💢dalpha🧡💙 :
bamkubwa leo umejua kuidharirish familia😭😭
2026-09-15 15:47:36
139
aikal.sultan
CHEETAH :
natamani nimuonyeshe mkewake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 16:21:48
100
young_kidari
Young_kidari :
Anachekesha kama sio mjomba ako 😂😂😂
2026-09-15 14:59:11
88
sirloom5
Montaner🎯I'm fineststudio :
mtembeze dar yote mpaka atubu
2026-09-15 16:45:51
52
fadheeler35
Fadhila Ashraff :
Sas huyo Baba camera haion?😅
2026-09-15 15:12:32
41
mr_bandos_unlimited
mr_bandos_unlimited :
anaepajua hapa mwembe yanga naomba like.
2026-09-15 16:28:03
55
momychuli
officialaysher🌹🌹 :
ila wapemba msinifokee nna mimba 🤣🤣
2026-09-15 15:59:14
25
arushachimbo2
arushachimbo2 :
Mbona mjomba anaongea kwa nguvu Kama script kabisa?
2026-09-16 14:33:49
13
sem_king22
SEM :
Which country?
2026-09-15 15:41:18
6
phoebedenise4
phiby :
mjomba hadi anasoma dua 😂😂😂😂😂😂
2026-09-15 19:17:38
14
givannah60
Givannah💝 :
ila camera man cjui huwa unajificha wap
2026-09-15 19:38:24
9
petalsss167
Dolores :
Niambie pole kaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 17:34:40
5
vicky.michael0
Vicky Michael :
tulionglia hii vdio cku ya j4
2026-09-15 14:54:56
15
askalove5
upendo 🥰🥰 :
watu wasione geukia huku
2026-09-15 18:41:06
5
minahyusufu
Minah muzaa uzungu :
Ba mdg umejua kutuzalilisha🥺
2026-09-15 20:13:17
7
marckmussa
Abdulmalick Musa :
pesa hizi🤣🤣
2026-09-16 12:02:21
5
user9032330787478
juma issa :
ila umejua kumtesa ungempa tu iyo hela ya mafuta
2026-09-15 17:09:35
5
gawa_tz
Said Gawa Lisinge :
uzuri ukilike tu part 3 inakuja yenyewe 😂
2026-09-16 07:56:28
7
user8080719113147
rDseven :
ilaa mjomba😂😂😂
2026-09-15 16:23:43
7
kimzayrah
official kim🦋🥷 :
Ila kina Abduli😂 Ila sio wote
2026-09-15 15:34:03
8
aysha6428
MAMA D :
Sasa mjomba hakujuwa kama anachukuliwa video
2026-09-15 15:41:25
6
miriammom26
miriammom :
ivi mke wake akiona hii inakua je ata cheka au[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 15:33:53
16
awoote9
Mahrez :
tena zilete zote hizo watakuibia🤣
2026-09-15 20:03:14
6
user6182388517070
Miriam Ilala :
lucy njoo umuone babu yako
2026-09-15 16:08:08
8
khamis.khan37
👑🅻🅰🆂🆃💎 🅱🅾🆁🅽💥💗 :
kaka jibu my comment pl😂😂😂
2026-09-15 14:53:33
7
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About