asalam aleikum alio yasema sheikh bachu sio makosa na alivo sema sheikh walid nayo sio makosa. kiufupi sheikh walid ana haki ya kuikata ile chai na kuitia kasoro kwajili ya manufaa yake lakini sio haram wala sio jambo la kusema ana mpinga mtume kwasababu swala kama hilo sio faradhi ndio mana una uwezo wa kuchaguwa uinywe auu isinye kwahio haja mpinga mtume pale ni kaonyesha kuwa sihitaji kuninywa hii chai kwasababu ime ingia kasora
2026-09-15 23:58:41
0
Hassan Ligunila :
unamtafutia makosa
2026-09-15 23:10:19
0
Gungu :
Eka mpk mwisho mwalimu
2026-09-15 22:03:42
0
presicion_hardware :
iache mpaka mwisho watuwaaikilie
2026-09-15 21:58:13
0
kitatinho92 :
na0na unataka tena mujadala
2026-09-15 21:04:52
0
rajabu :
Tatizo lenu ninyi mnaangalia vyeo hamuangalii haqi na huu ni mtihani wa zama hizi mtu akiwa na cheo akikosea asikosolewe??
2026-09-15 23:26:22
0
2kalla3 :
weka mpaka mwisho usiishie njian
2026-09-15 22:15:53
0
mustapha gulam :
mbona umeikata
2026-09-15 19:20:48
0
BAD LIFE :
kwa kweli hakuna alie kamili ila Kila mwenye elimu kidogo ashazidi wengine Allah atuongoze kwa sote ila mitandao ndio fitna kubwa alio ashiria mtume s.a.w kutakuja zama fitna zitaingia Hadi majumbani mwenu ndio huu wakti subhannah
2026-09-15 22:24:05
0
Adey :
ukiw n jich la 3 utfahm alch kusudia shekh walid ila walio kurpuk nd ivy wanpt shid n kuanzsh mamb mengin kaa fikiria hlf ndip utakj kuon jib l shek walid lilivy kusudiw