@mawo_buy: 🤯🌱 PANGA KICHAA! GRASS CUTTER INAYOLIMA! 🔥 Ulikuwa unajua grass cutter ni ya kukata nyasi tu? Hii unaweza kuitumia kufanya kazi zaidi ya moja! 👀 🌿 Kukata nyasi 🌱 Kusafisha mashamba 🚜 Kulima/kuchanganya udongo (kwa attachment inayofaa) 🧹 Kusafisha maeneo ya shamba Hapo ndipo mchongo ulipo. 💰 Badala ya kununua machine tofauti kwa kila kazi, anza na machine yenye matumizi mengi na ongeza attachment kulingana na kazi unayofanya. MACHINE → KAZI NYINGI → HUDUMA → WATEJA → PESA. 🔥 Usinunue machine kwa ajili ya kazi moja. Tafuta machine inayoweza kukupa michongo mingi. 📞 0750401818 / 0757471618 📍 MAWO BUY – Mwananyamala Ujiji #MAWOBUY #GrassCutter #Kilimo #Agribusiness #Jiajiri