@baby.jaybeautysaloon: pumzka kwa aman dada yetu rafiki yetu daah#rip

BABY.JAY BRAIDS🎀🎀
BABY.JAY BRAIDS🎀🎀
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 15:15:07 GMT
120599
5577
240
66

Music

Download

Comments

amrani287
💦My Mira💘 :
tunajisahau tunakaa uchi jmn tunasahau kifo dah R.I.P
2026-09-16 05:48:07
39
bbyaggy1
babeagy ♍️ :
samahan alipigwa upande wa kichwa au wapi
2026-09-15 22:20:04
10
user1713384531545
pendo victory :
rest in peace kipenz
2026-09-17 09:23:11
0
agythebos
linah💃🥀 :
Tupunguze starehe zisizo Kua za lazima jmn
2026-09-16 06:58:18
11
kitumbuaaa0
Afroo@soldier🥷🥷🇱🇷 :
daa ila Marafiki jamani daah
2026-09-15 21:31:04
10
prisca.cute39
p songwe lady🌹🇹🇿 :
r.i.p irene
2026-09-16 03:04:31
1
evelinafrugence
Queen bee :
binti mrembo Sana jamani 😭😭😭😭, eeeeeh mwenyezi MUNGU naomba unijalie mwisho mwema 🙏🙏🙏🙏
2026-09-16 05:30:17
19
shakeerah979
pretty sh@keerah :
naogopa kulewa tenaaa
2026-09-16 16:40:22
2
ladyshaa4868
BOSS LADY ✨💞 :
kama namjuwa ashawahi kuishi dar Magomeni suna alikuwa jirani yangu huyu dada
2026-09-16 05:39:49
10
manka.mkaarusa
🥰Manka Mkaarusa🥰 :
Anazikwa lini jmn
2026-09-16 14:27:25
1
rose.ngahy6
rose.ngahy6 :
Walikuonea tu wivu hao Walio kuua
2026-09-16 06:09:52
9
lucyshirima857
Lucy shirima :
dah huyu dada roho imenium sn ni mdog sn miak 22 sijui walingombana sijui nn jmn dah
2026-09-16 17:07:11
0
amima174
Amima :
pumzika kwa Amani kipnz😭😭💔
2026-09-16 20:18:26
0
jessieg866
jessieg866 :
Walipmpiga wapo wap awajakamatwa
2026-09-15 23:13:29
4
totojojoake
toto jojo🦋💕 :
Nashangaa mamaake kwanini aulize tu irene kafa inaman alitarajia au mie ndo sielew
2026-09-16 18:43:12
3
lizzy.outfit_
eliza.shoes_store :
Naombeni kuuliza alivochomwa na kitu cha ncha kali kwenye paja ndo akafa?? Au walimchoma na sehemu zingine??
2026-09-16 22:26:32
0
rebeka0009
Rebeka :
Poreni arikua anaumwa
2026-09-15 21:19:07
1
gilo1986
shadyamussa :
daaa pombe ni mbaya sana japo kifo kipo tu lakini cha ukiwa umelewa asee Mungu atusaidie tu jamani atupe mwisho mwema
2026-09-16 12:51:04
1
gracepeter7110
Gee :
Tulikofikia tusali Sana na tupendane eliminyo inakuja jaman.... R I P kipnz
2026-09-16 11:22:44
3
meylan8324
meylan💛💚🖤💦 :
imeniuma mpak nashindwa kulala r.i.p mamaaa clasmte
2026-09-15 18:14:15
2
selinamgonda
xchn :
kafanana sana na mama yake jmn
2026-09-16 05:39:33
4
ufromkwaz
Mrs ismaili :
polen san sot safar mojaa😭😭
2026-09-16 10:43:54
2
kingdavis818
King Davis :
Sema nn wanangu dada yetu alikuwa pis Sana ila NDE ivyo tu dah Kwan nn lakini ?but why why why
2026-09-17 05:46:15
1
dinalonda628
dinalonda628 :
Inauma jamani
2026-09-16 12:54:11
1
To see more videos from user @baby.jaybeautysaloon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About