Siku niliamua kujiunga na maisha ya kuwa karibu na jamii, I Lost everything my private life gave me! I learnt with tears! Sio kila Mtu anatakiwa kuwa social butterfly! If private life works for you kindly don’t lose that! People can’t harm what they don’t have access to 🙌🏻
2026-09-15 22:39:16
105
Taurus :
aisee tusipangiane maisha , why should I engage with everyone 🤔??! why just why??! is that because of fear of death??!
2026-09-15 18:14:20
38
Moses_kaniel :
Mwanetu umekataa kabisa kukubali kuwa dunia na mambo yake yanabadilika ulivyo ishi wewe wa 70 sio tunavyo ishi sisi vitu vingi vimebadilika mkuu ndo maana hata media baadhi zimeanza kukosa yshawishi na kudidimia kwasababu bado zimekomaa kwenye vitu vya 70 mfano wewe unafungua media then bado una section ya taarifa ya habari saa 8:00 wakati hiyo hanari mimi nimeiona toka saa 10:30 asubuhi hivi gen z yupi anae angalia taarifa ya habari oky sio gen z tu now days hata wa 70 pia wanamilikia social media ambazo ni very powerful bado tv ina kipindi kinaitwa malumbano ya hoja sasa
2026-09-16 05:33:13
17
Rè :
sio kila mtu lazima aconform katika namna ya maisha ambayo inaonekana accetable kwa wengine. Afterall hakuna formula ya maisha. Kila mtu aishi kwa namna itakayompendeza mwenyewe as long as hadhuru mtu wala kukiuka sheria. Kila mtu ana namna anvyodefine happiness na peace. If it works for you, well and good.
2026-09-16 08:02:57
16
lah_katuju :
Unawazungumizia Gemini na Group O 😂😂😂
2026-09-15 19:53:10
15
TIMELESS FURNITURE & DECOR :
wanasema ni maintrovent mara blood group O na ile nyota gani sijui🤣🤣 km sie hiyo wengine group o hatuna
2026-09-15 16:28:47
14
daxeany28 :
Tumeendelea Tunajiita ma introvert 😅😅 na macancer
2026-09-16 06:02:42
14
Me & I :
Acha tu huo ugonjwa uniue sitaki mazoea na mtu yeyote yulee👌👌😅
2026-09-16 13:04:36
9
Black..G🦋❤ :
Sipendi kusalimia, sipendi kuaga, sipendi kutembelea watu na mimi usinitembelee, sipendi kwenda sherehe labda msibani 😅
2026-09-15 19:34:03
8
Therry Kapalicouz :
haya wagonjwa wenzangu ambao hatutaki kupona njooni😂😂😂😂
2026-09-16 08:47:36
6
NEBA COLLECTION :
Huo ugonjwa ninao 🙌
2026-09-15 19:31:56
5
moneyammy :
Sina marafiki Salam natoa ila nikichoka sisalimii misibani naenda kwenye shughuli za mtaani siendi sipendi makelele ya singeli hya private life in kinda way
2026-09-15 18:22:42
4
Sunny Kay :
jaman kama ni ugonjwa nahitaj matibabu
2026-09-16 09:46:33
4
🦋It’s 🍀slim🦋 :
Mpaka mama angu akiondoka duniani ndo ntaanza kujipambania kwasasa mama yupo anawakilisha familia [Tears of joy]
2026-09-16 02:29:19
4
🎀momo🎀🪄 :
mimi sio gen z ila huo ugonjwa ninao
2026-09-16 11:58:16
3
Lilly store :
Imefika hii hatupo hata kwenye magroup ya familia , na hatuendagi kwenye misiba tunajifanya tunaishi dar mbali na vijijini kwetu. Yoooh umesema kitu kikubwa kaka
2026-09-15 18:55:18
3
Aaliyah🦋 :
Mimi ndo muanga wa huo ugonjwa🥹siwez yan ata kukaa kalibu wa watu sipendi
2026-09-16 06:00:45
2
Made In Dar es salaam📱 :
Kumbe naumwa na sijui😂
2026-09-15 18:27:31
2
BEST ELECTRIC MOTORCYCLE :
private life
2026-09-15 16:55:08
2
It's B :
Wanaitaa Introvert vibes
2026-09-16 06:24:14
2
To see more videos from user @bongoads, please go to the Tikwm
homepage.