Hapo kwenye mshahara maajent ndio chanzo.ukitoka tz mshahara unaambiwa ni 120 ukifika oman ajent anasema unajua kiarabu ukisema hapana anakwambia. basi hustahili kulipwa 120 labda ulipwe 110 na wakati kazi nyingi kuliko hata hiyo hela. kwahyo maajent wa oman wabadilike kazi hawafanyi wao. bhna maboss hata tusiwasingizie anaekubaliana na mimi like hapa📌
2026-09-15 17:04:04
22
Ukhty 💖 :
Vikao vingi lkn cha maana akuna
2026-09-15 17:33:09
19
modredy star🇹🇿 :
jamani ktk kikao chenu tuombeeni ata mkataba usiwe wa miaka miwili uwe mwaka mmoja t maana changamoto ninyingi majumbani ukiangalia na miaka yakurud niming
2026-09-16 09:49:00
1
cute nino🌷♥️ :
mbn awo maajent tunawapa kesi zetu wanasema wamechoka kweli yn mtu unafany kazi kukulipa mtihan alf ukiongea akuna anaekusikiliza 😳
2026-09-16 02:13:40
3
amorsalmi948 :
Ndugu yangu kuna makabila mangapi yanakuja oman.sasa mwananchi yuko huru kuchagua.juzi wamekuja wa ghana 114 kwa kaxi ya macdonal mshahara 100.
2026-09-15 21:32:24
1
YASMIN❤️ :
mashaallah mwenyezimungu azikubali duwa zetu pai azidi kuwapa afya njema hao wanao tupigania sisi wapambanaji
2026-09-16 06:03:10
1
love💕 :
Shukurani sana mungu atukubaliyə maombiyetu🤲
2026-09-15 19:30:32
3
🥀 @🌹m🌹 :
Asante kaka angu 🙏🙏🙏
2026-09-16 01:56:51
1
Mimi🤪🤪 :
mbona bado wanalipwa rial80😳😳
2026-09-16 04:26:31
1
Team strong🇹🇿 :
nachoka kila cku vikao wala hazifiki sehem husik ijaza pia hatuiyon
2026-09-15 17:16:08
6
SAKINA MUSSA :
je na wale wasio na mikataba inakuaje kaka
2026-09-15 18:28:59
1
1234mei :
asante.kaka.kwatalifa.nzuli
2026-09-15 18:42:50
1
Amina Yussuph :
hivyo vikao vinavyo fanyika na suala la ijaza litiliwe nguvu tunafanya kazi kama mapunda hatuna mapumziko na
2026-09-16 06:54:07
1
Itc Mona 🇹🇿 🇴🇲 :
tunataka kupumzikz ijumaa na tutoke ata kutembea jmn man akir inakufa siyeeeee🥺
2026-09-15 17:02:36
3
M.r.m r.t.r :
2026-09-15 18:00:17
1
baby.official84 :
mi ndoman sinag mda ata kuangalia ivyo vikao vyao nimaliz mkatab niondok zangu mie
2026-09-16 03:54:41
1
MeynnahMarembo :
next year ww ndio balozi wetu inshallah 🙏 ALLAH atakulipa ww kijana
2026-09-15 16:45:41
4
masha cute😍🌹 :
kila cku ni swala ili tuu yani ila akuna kinachobadilikaa mishahara inaumiza sanaa na kidg kaz nying akuna kupumzikaa[Crying][Crying] inaishia ktk tktok basi ila hawa watu roho zao daah
2026-09-15 17:19:02
2
Ash baby :
kma maboss wanamikataba yao ya oman sasa wanachukua mikataba yatu ya tanzania wanakaa nayo ili iweje
2026-09-16 05:47:10
1
Munira :
wafanye haraka sasa
2026-09-15 17:33:56
1
l cute 😍 :
shukran sana alhamdulillah🙏
2026-09-15 17:03:45
1
To see more videos from user @bishir_1, please go to the Tikwm
homepage.