@rematv_online: Baada ya Video hiyo pembeni iliyosambaa ya mwigizaji maarufu, Bi Kauye, amejitokeza hadharani kuomba msamaha kwa Watanzania wote kufuatia kusambaa kwa video inayomuonesha akiwa pamoja na kijana mmoja katika mazingira yaliyozua mjadala mkubwa na hisia tofauti kwenye mitandao ya kijamii. Akizungumzia tukio hilo, Bi Kauye amefafanua kuwa kilichotokea hakikuwa na maana kama inavyotafsiriwa na baadhi ya watu, bali kilikuwa ni sehemu ya utani tu wakiwa 'location' wakati wa uandaaji wa kazi ya video. ​"Naombeni mnisamehe Watanzania wote. Hayo siyo mambo yangu, ilikuwa ni utani tu tukiwa location. Naombeni mfute hiyo video, mimi nina watoto wakubwa. BASATA pamoja na Bodi ya Filamu naombeni mnisamehe. Hayo siyo mambo yangu kabisa, napitia kipindi kigumu mno," alisema Bi Kauye kwa majuto. ​Bi Kauye amewataka Watanzania kutomuhukumu kwa kile kinachoonekana kwenye video hiyo, huku akisisitiza kuwa mazingira yaliyokuwa yanaendelea yalihusisha utani wa kikazi wakati wa utengenezaji wa video na sio maisha yake halisi.

REMA Media Group
REMA Media Group
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 16:43:10 GMT
29112
363
7
14

Music

Download

Comments

neyraj6
neyraj :
ukimuomba Mungu inatosha mama
2026-09-15 19:11:09
3
sharmillaakimana07
شرميلا🇧🇮🇺🇸📍 :
Kwan video imefanyaj??sielewi
2026-09-15 19:36:29
0
user79461915613883
mwnahawa47 :
mi nikajua video ya kutiana kumbe iyo
2026-09-15 21:18:31
0
user4412607283531
user4412607283531ummy wawili :
pombe mbaya Aina faida yoyote pole Sana naniabu kwa familia yako
2026-09-15 20:06:24
0
user2622617099120
king mahava :
umekuponza
2026-09-15 19:59:43
0
mishy498
Mishy 😻😻 :
😌
2026-09-15 19:58:38
0
sherymuu
mom sahim :
😁😁😁
2026-09-15 20:23:14
0
To see more videos from user @rematv_online, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About