@mon.picture.mbaga: WE SHOOT MEMORIES Photo | Video | Events ☎ +225 783 753 982 ☎ +225 753 311 439 . . .. . . . . . #wemasepetugallery #whatsappstatus #diamondplatnum #editor #hashtag

Mon picture mbagala
Mon picture mbagala
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 16:55:30 GMT
186027
3461
154
118

Music

Download

Comments

user1722754011154
Salma juma :
Kuna WATU tunatolewa mbali jamani
2026-09-17 15:13:46
7
user213655145602
user213655145602 :
wapo ila uyo ndoalie kadriwa na Allah kwaiyo ata Mimi watakuja nandege tuseme inshallah
2026-09-16 08:02:54
78
kingunge_18
kingunge :
shekhe akaona mambo yasiwe mengi ngoja nishuke nikaelekezee aloo😅😅😂
2026-09-16 10:28:28
9
smbondeamina
s mbonde amina :
kupata k2 kizuli kazi kama mm nataka mume wang anifate mtwala uku sita ki anichukuliye kongowe
2026-09-16 11:23:11
7
isher173
isher💥💫 :
na cku zote Madini yanapatikana mbali na kazi kuyapata ndo maana halisi 🥰🥰🥰
2026-09-16 10:47:59
8
shuuudelove
Shuuudelove :
wengne nyumba za karibu zipo ila kukomoa ndgu wa mume tu [Tears of joy]alafu mwaka tu wameachika
2026-09-18 06:55:08
2
karimu.brand1
KARIMU ABDALLAH :
NJIA YA KISAYANI, KISIMA,MALELA, MIKILALU NYUMBAN KABISA HUKOO
2026-09-16 08:13:16
4
younglady289
younglady289 :
Ah me ningeshuka wallah mana roho yang ndogo wallah😂😂
2026-09-16 07:19:55
7
murtaz1721
Murtaz17 :
sifa ya mwanaume akipenda distance sio inshu
2026-09-16 13:51:59
4
burushi_mtata004
Hossam Hassan :
Kisayani hii
2026-09-16 19:13:11
2
kadjys
jessyk :
Huko mabinti hawana hekaheka na dini imelala balaa🙏
2026-09-16 17:50:53
3
ukhty.aisham
Ukhty Aisham :
jaman derev akiambiw twend tena hawez kubal
2026-09-18 07:48:36
1
hamisiselemani32
Hamisi :
hapa nikama niliwah kupita siku moja nafkiri itakuw daraja la kupandishia msorwa kisayani ile sehem imesombwa na maji sana napafananisha
2026-09-16 10:19:51
3
nurusmart3
Nuru smart :
uko mahari laki mwaya
2026-09-16 15:56:14
0
kabanda580
KABANDA GENERAL TRADING :
hakutafuta wanawake alitafuta mke
2026-09-17 07:59:37
1
user7458047223091
sam k :
kwaivyo uyo drv alikua aoni maana s kwakelele zamaelekezo
2026-09-17 05:37:17
2
user4984548650051
Muhaha family :
kama uelekeo wa shungu bweni ukitokea vianzi malela
2026-09-17 05:56:08
1
yuscomauwezo860
YUSCO MAUWEZO :
aaaaah🤣🤣
2026-09-16 20:19:38
1
asiamiyangi
Asia Miyangi :
wanawake wa dar familia kijijin na walio dar wahovy
2026-09-16 09:49:36
1
radhiamballami5
radhiampoyee :
niliendaga malinyi tukapita serm kam hii
2026-09-16 12:41:14
0
tee_sultan
tee_sultan :
Mie napenda veep raha kufatwaaa😂😂😂😂
2026-09-16 08:49:21
1
user586561496278
𝕒𝕞𝕞𝕪 𝕤𝕥𝕣𝕒117 🦋🌹🌸🥀 :
camerà man basiiiiii😂😂😂😂
2026-09-16 07:17:02
2
kassimu.mbaruku
Kassimu Mbaruku :
dar hakuna wake kuna wanawake
2026-09-17 12:10:54
1
aisha.mwarabu3
esha og❤️ :
siunajua daaaa galama
2026-09-16 04:13:55
2
fatumambella538
Fetty Lee :
Mtumeeeh Umekatazwaa🤣🤣🤣
2026-09-15 19:44:49
2
To see more videos from user @mon.picture.mbaga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About