🥰🥰🥰🥰🥰 mama bora hupenda ndoto ya mwanae safi sana mama etu
2026-10-01 10:31:56
2
Jostanboy Tz🎙️ :
dah mama anapush ndoto za mwanae,, Respect ziende kwake 🙏🙏🙌
2026-10-01 14:26:54
1
user7922837995784 :
mbona ilembula kwetu jamani🤣🤣
2026-09-17 08:51:46
1
Budder _swaggz :
upend wa mama
2026-09-17 22:07:58
0
Tino Stivin :
umekumbush mbl bimkubw alikuwa anajua napenda mpira san soo 2016 hiyo sik nalud shule iyo sk bimkubw alisafir soo alivy lud akaniletea zawd viatu vy adidas
2026-10-01 14:35:05
1
Amani Mzanje :
mama uishi miak ming san 💕
2026-10-01 18:21:45
0
Imanuel Sanga :
hongera mama mana wachache sana
2026-10-01 18:35:19
0
agripinuschristop :
inapendeza xana nimeipenda xan
2026-10-01 19:25:00
0
Conso🦋ponsiano :
Duuh amenenepa mashaalah
2026-09-17 17:58:00
0
Faraja Mjogolo :
eee wewe huyooo
2026-09-15 17:13:55
0
Moh Mkambinje :
akuna kama mama
2026-10-01 19:42:29
0
last born&£@£ :
mamaet uyo jaman
2026-09-16 08:32:20
0
Homeless 💦 :
Mama furaha yetu 🫂♥️
2026-09-16 16:23:05
0
"SAM WANA MAN "👑👑👑🔥💯 :
mama Sam 😁🫵🫂
2026-09-17 09:48:30
0
OCHU TOZZY :
kaka apo pambana san ilembula mabeganiii
2026-09-17 16:08:15
0
MBENA WA ILEMBULA✌️ :
furaha ya mama ni mafanikio yako usiache kumuombea❤️
2026-09-16 16:39:45
1
vim boy🔐🔑✅️ :
sana mama
2026-10-01 21:38:00
0
Patrick puye :
daah njia ya kwenda kwetu luduga mama
2026-09-20 20:38:20
1
benson willbroald :
Nmependa sana mama anapenda kipaji cha mwanae aisee vzr sana
2026-10-01 20:16:25
0
FLANCIS DAVIES :
dah bas tu
2026-10-01 19:44:50
0
King Masemele💫 :
Kwa heshima
2026-10-01 20:02:59
0
To see more videos from user @ilembulaaa1, please go to the Tikwm
homepage.