@huboprinting: DISCOUNT KUBWA SANA! 🔥 🏷️ Name Tags kwa bei ya kipekee Unatuma ARTWORK yako 👉 Sisi tunachapisha! 🎨🖨️ ✅ Bei nafuu ✅ Quality ya uhakika ✅ Tunachapisha design yako 📲 DM au WhatsApp sasa hivi kuagiza! 📍 HUBOPRINTING — Kigogo Chawote, Dar es Salaam. #HUBOPRINTING #NameTags #PrintingTanzania #DarEsSalaam #BusinessBranding NameTag PrintingServices Discount TanzaniaBusiness 8KOnly

HUBOPRINTING
HUBOPRINTING
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 17:08:34 GMT
18454
381
37
60

Music

Download

Comments

caramprint
Caramprint :
Mawinga kazi wanayo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] wasome tu
2026-09-15 18:36:45
1
rahimprints
I am Him. :
Mawinga kazi tunayo kaka hubo naomba ajira
2026-09-15 20:38:16
5
maxy.printing
Maxy Printing :
Unawapiga sana Mimi nafanya buku 6 na naweka epoxy kabisa acha kuwaongopea kaka
2026-09-16 04:52:34
2
medsalu
medsalu :
mbona bei njoo kwetu buku 5 tu
2026-09-16 04:36:44
2
sancho_printing_p
sancho_printing_point :
Na kufanya biashara na watumishi wa umma kazi sana😂wachukue tu kaka
2026-09-16 10:36:04
1
sweetbertgeofrey7
sweetbert :
sasa mshahara mdogo unaingiaje hapo
2026-09-16 13:04:43
0
creative.kido
creative.kido :
Watumishi wa umma mmefikiwa 😂
2026-09-16 06:06:54
0
jonasmwaipungu
Jonas Mwaipungu :
mnapatikana wapi?
2026-09-16 13:10:15
0
drecmn
The EXPERT :
nakubali mkuu
2026-09-16 09:41:54
1
dude_efb
non_chalant :
mnapatikana wapi kaka
2026-09-16 15:17:24
0
sanganyamsanu
Sang'anya Msanu :
Mnapatikana mkoa gani
2026-09-16 15:07:25
0
official784461
Offïçïäl kïllër🦅 :
mko wapi
2026-09-16 14:32:27
0
kaonjela1994
SULTAN SALUM :
HOLDA ZA FUNGUO JE?
2026-09-16 14:07:42
0
user3213686163361
D :
naomba namba yenu nina Bar nataka kuprint kwa ajiri ya wahudumu
2026-09-16 13:57:53
0
wadrock075123
wadrock :
tunafanya bei nafuu
2026-09-16 08:30:31
0
victormshabaha255
Victormshabaha255 :
unaweza kurprint kw ajili ya Serikali ya Wanafunzi iwepo jina na cheo chake
2026-09-16 13:59:58
0
guzmana663
Guzman :
Weee jamaa ni MZALENDOOO SAANAA KILA MTUU APATEE😂😂
2026-09-16 10:55:06
1
adammoney8
Adammoney :
huu ndio tuita uboouuuyaaaa
2026-09-16 09:17:19
0
isacktgr
♎️. studio777. :
sio ujanja unajiharibia mwenyewe
2026-09-16 08:27:15
0
salmamadam78
Cherish :
Hata we unapiga ni shilingi elfu 5 tu kinapigwa kila kitu wewe pia unapiga banaaaaa tuacheeeee
2026-09-16 15:15:23
0
thomasjohn7140
TJ DIGITAL TECHNOLOGY :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-15 18:41:08
0
To see more videos from user @huboprinting, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About