@maguisratv: "Wanasema Heche Ana Magari Matrekta Inahusiana Na Nini Hii" Mhe. John Heche #maguisratv #JOHNHECHE

MAGUISRA TV
MAGUISRA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 18:16:34 GMT
49838
1742
75
38

Music

Download

Comments

user8575593901821
user8575593901821 :
nipe nyumba mm sina
2026-09-16 09:54:05
0
homeboy6217
homeboy :
Mbona wao wanamiliki mashelli, mabasi, mashangingi, maghorofa na vingine vingi na hatusemi iweje heche kumiliki trekta na jezi ya arsenal tu iwe kelele, ila ccm bhana🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 19:10:27
16
sube.kichure
Sube Kichure :
heche oyeeeee
2026-09-15 19:39:02
13
samah_serum
samah_serum :
heche anajinufaisha yeye mwenyewe kwa kujitajirisha mwenyewe anafurahia mwenyekiti wakekukaa gerezani
2026-09-15 19:34:43
1
benedictokafwanga
Benedicto Kafwanga :
tuonyeshe ulipataje
2026-09-16 03:16:00
0
lobbymollel146
olengonongoi :
heche mwizi mkubwa ahukumiwe tu
2026-09-15 19:50:41
1
nexa.tv3
@Nexa Tv :
kaka 🙌🙌🙌Tunakupendaaa
2026-09-15 19:16:30
11
yusuph7989
yusuph :
✌️✌️✌️tupo pamoja ndugu makamo
2026-09-15 19:49:00
9
uninteme
uninteme :
ata mm kwa akili yangu ndogo nimejiulixa sana kwa ukubwa wa kesi mawakili wanauliziq maisha ya watu
2026-09-15 19:08:59
5
rama.gama245
Rama Gama :
wao wanamiliki mali kibao mbona hawaojiwi au kwkuwa izo mali anazimiliki kw majina yake tunajuwa wao wamebadilisha majina
2026-09-16 05:51:48
1
user8268774942166
user8268774942166 :
kunasheria gani inayo mnyima mtu kumiliki gari au trekta
2026-09-16 09:00:03
5
mr77531
Mr Thinker :
Bonjour Heche
2026-09-15 19:38:31
6
saidiakilimali2
saidiakilimali761 :
HECHE SONGA MBELE WANANCHI TUKO NYUMA YAKO MENGI YATASEMWA TWAJUA UMESHAKUWA MWIBA KWAO NA UMEWASHIKA PABAYA "WANAHAA "AKILI ZAO WANAKUFIKIRIA WEWE tu
2026-09-15 20:27:51
11
joycemwalalika
joycemwalalika :
Heche tupo na wewe inyeshe liwake tupo pamoja
2026-09-16 07:57:47
6
user2151395435610
user2151395435610 :
mwenyekit wako anakwambia jibu maswali
2026-09-16 19:50:32
2
ezekiabeny
Ezekia Beny :
kwan haruhusiwi kuwa na mali?
2026-09-15 19:47:55
3
user9392478122974
lucas :
sasa mbona wao wanamiliki magorofa na biashara kubwa leo gari 5
2026-09-16 09:48:07
1
sir.ngure5
Sir ng'ure :
kamanda tupo pamoja nawe mwanzo mwisho
2026-09-16 08:57:17
2
johnsilvester313
John Silvester :
mwenyezi.mungu.mwenye.nguvu.awasaidie.sana.pia.awalinde.sana
2026-09-16 05:24:27
1
dj.john.wakimataif
DJ JOHN WAKIMATAIFA :
Mungu ni mwaminifu Kwa Kila jambo
2026-09-15 21:15:48
1
shamsimaarifa
Shamsi Maarifa :
na ukitaka kuongeza matrekta weka namba watu tutume hela uongeze ni jasho letu na mapenzi yetu kwa viongozi wetu
2026-09-16 06:49:01
1
user1845323802439
user1845323802439 :
Nakukubali sana hata waseme mangapi kwako sisikilizi maana hao wanakutengenezea njia hovu ili wakuchonganishe na wananchi ✌️✌️💪💪💪 tuko nyuma yako kamanda
2026-09-15 19:41:24
3
bahatnyom5
Bahat bahat :
🤝
2026-09-15 19:58:48
1
hansikayeke
Hansi Kayeke :
Good Leader
2026-09-15 19:39:32
1
akayohaog
akayoha og :
mara ana jezi orijino ya arsenal Yan mpaka nachanganyikiwa
2026-09-15 20:52:10
1
To see more videos from user @maguisratv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About