Nikuweli I experienced that after my husband pastway
2026-09-15 21:33:43
0
Tamara_wababa❤️ :
Mimi naheshimu sana hata kidogo chake na kikubwa pia 🥺maana naona dada zangu walio nje ya ndoa wanavyohangaika
2026-09-15 19:30:44
19
Hussein Mahara :
Wow my sister big up
2026-09-15 20:05:45
1
Farhiya :
yaani mimi hata akituma kitu kwa boda boda najua kumwambia Boda mwambie mume wangu ahsante nimepokea mzigo na kama simu ina salio lazima nimpigie nimshukuru Allah aniekee mume wangu 🙏
2026-09-15 19:28:25
6
The billionaire doll :
Ebu nitafute ela zangu tuu🥰
2026-09-15 20:15:54
3
El vidah🥰🌹 :
unachosem ni ukwel
2026-09-15 18:30:11
10
joystore_01 :
Mi nae hatakama ninavichenchi vyangu mwanaume wangu ntamuheshimu sana
2026-09-15 19:25:08
7
Latkiyzdemwah :
Perfect habibty
2026-09-15 19:09:47
5
forever hope❤️ ♥️ :
Uwiiiiiiiiiiiiiii mbona da Fiona ume ongea vizuli hivyooo😌😌
2026-09-15 19:51:48
2
hasemwi :
uko perfect 👌 sana da fii
2026-09-15 19:05:16
6
libra ♎ :
Asante da fifi
2026-09-15 18:34:51
4
salhasaidy3 :
yoooohh MUNGU umtunze yule mtu jmn 🥰
2026-09-15 20:51:18
1
Estertreasure❤️🩹🦋 :
2026-09-15 18:56:30
5
Teee beauty'🦋S❣✨ :
je kama anadharau
2026-09-15 20:55:01
1
sophiemitumb☺️ :
hatakama najua kutafuta hela kiasi ila hela ya mwanaume wangu lazma niheshimuu ahh ♥️mungu awape afya nzurii wanaume wote wahangaikaji 😇🙏
2026-09-15 19:51:51
4
Angel beauty saloon :
Nampenda sna mume wangu anajua majukum yake’ mungu amtunze
2026-09-15 20:30:11
2
frank :
nataman kuchangia hili ila dah sio poa
2026-09-15 20:16:07
1
Mufidah_shopping_Center :
weee its hard iyo kazi wanaume wapewe maua yao weeee
2026-09-15 19:57:30
1
Nasma Ngonyani :
📌📌📌nmekuelewa pakubwa sna japo nafanyaga ila nitafanya kwa usahihi zaid❤️