@prince40288: #Amri10 #Mungu #Imani #NenoLaMungu #Motisha #FYP

The_Prince✅
The_Prince✅
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 18:28:22 GMT
7685
514
14
15

Music

Download

Comments

naimammanda
huby neema :
bwana mungu amri zako ni ngumu na kiri hakuna ilio baki salama
2026-09-16 16:59:28
1
jimmy.up1
jimmy up :
hapo naongezea ya 11 usitaman mume wa mwenzio
2026-09-19 16:35:13
1
jaylivinus
pork's legend :
be blessed
2026-09-16 10:23:08
1
user4225425475934
user4225425475934 :
ameni
2026-09-30 18:19:21
0
user6520183405578
Kevo :
en
2026-09-26 08:40:39
0
asuuu3121
Asuuu :
ameni
2026-09-29 13:05:32
0
pascal.kasumi
Pascal kasumi :
shika kitakatifu siku ya mungu sio kweli kwenye kitabu cha kutoka 20 hakuna hiyo amri mjomba kuwa makini unatupoteza
2026-09-24 06:03:18
0
raja_ibrh36
Raja -ibrh 36 :
🥰🥰🥰
2026-09-29 07:39:40
0
elibariki.mkoma
Elibariki Mkoma :
🙏🙏🙏
2026-09-16 08:57:23
1
oswardkichwa
Osward Kichwa :
KUTOKA 20:17 1.iko sawa 2.Usijifanyie masanamu wala kuyaabudu 3.usilitaje bure jina la Mungu 4. Ikumbuke siku ya sabato uitakase. 5.waheshimu wazazi 6.usiue 7.usizini 8.usiibe 9.Usishuhudie Uongo 10.Usitamani nyumba ya jirani,mke wake,mtumwa n.k
2026-09-16 15:31:31
2
ruben.ruben0370
Ruben Ruben :
eee mungu naomba unipe mwisho ulio mwema 🙏🙏
2026-09-23 20:16:04
1
To see more videos from user @prince40288, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About