@waziri_wa_comments: Ukipata comment ya kuchekesha nitumie inbox tucheke wote 🤣

waziri_wa_comments
waziri_wa_comments
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 18:30:40 GMT
23113
570
21
86

Music

Download

Comments

_thefancyone08
_ The fancy one08 :
Mzee analeta taharuki mjini [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 23:31:52
0
mkina.automotive
Mkina Automotive :
uzur wazazi wangu hawana smart phone, 🤔
2026-09-16 10:20:35
1
onlytz6
7/7/2026 :
mzee kwani saiv mnatuonaje
2026-09-15 19:30:10
2
8788venance
V classic :
uliuza nini
2026-09-16 10:34:17
0
babe.g534
gracetz6 store :
Unajua nacheka kwann haya n maajabu
2026-09-16 10:23:42
0
stuwart.kusiga
Stuwart Kusiga :
kwakwel 🤣
2026-09-15 19:39:24
2
hassan.gunguti
Hassan Gunguti :
Me na 22 years apa 😂 ata baiskeli Sina
2026-09-15 20:02:00
1
gsm00110
Gsm001 :
sasa gilbert
2026-09-16 08:39:47
0
656939salmaemma
Salma masele :
jaman Baba angu ataniona sifai jaman kwanini lakini kaniomba elfu kumi tu nimemwambia niitafte kwanza😳😳😳🤣🤣🤣🤣
2026-09-16 09:01:56
0
husseinnelson191
Hussein Nelson :
ndege ya Aina gan maana kuna ndege wengi nashangaa wewe ulinunua wakati wanapatikana Kwa manati sasa sijui Mzee wangu ulinunua china huyo ndege maana kila kitu kina made in china
2026-09-16 09:18:31
0
kipundilehamisi1
kipundile hamisi :
😂😂😂😂 apa ndo anza kuamini kuusu matajili kuwa kuna kitu akipo sawa.
2026-09-16 05:46:59
0
itsglory07
itsglory07 :
Badoo yaani mpaka tanganyika ipate uhuru ndo vichwa vitakaa Sawa !!
2026-09-15 19:14:32
1
stalionkagoma39
Stalion Kagoma :
Ndege tausi
2026-09-16 09:45:29
0
t_rex3784
T-rex :
mzee anaropoka sana yaan huyu mzee jau
2026-09-16 11:48:23
0
azizamakame.abass
aziza :
mh kilakitu katika mwili wako kipo sw au kip lakn
2026-09-16 10:11:01
0
meddy.hunter3
MEDDY HUNTER🔥🔥 :
Kwni wachawi usiku wanapaa nann adi mzee msimuamini kununua ndege 22year
2026-09-16 11:12:22
0
devid.morgan70
Morgan@General :
Umri wa kula bata nanunuaje ndege😂😂😂
2026-09-16 09:44:15
0
makulasilima
magmakula :
😂😂😂
2026-09-15 18:38:52
1
shaky.melody5
Shaky Melody :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-16 05:26:53
0
charlemboya
Charles Mboya :
[Innocent][Innocent]
2026-09-16 09:40:53
0
To see more videos from user @waziri_wa_comments, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About