@sportland_tz:

SPORTLAND FOOTBALL
SPORTLAND FOOTBALL
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 19:16:02 GMT
129870
6291
346
179

Music

Download

Comments

mumy_69
Mumy💖🌸 :
usituchoshe bwan watu tulikuwa pressure increase or decreases 😂
2026-09-15 19:26:24
1
mziza.47
mziza 47!! :
why are the meaning of konga,,??
2026-09-15 20:01:59
0
bitcoinlocker
Bit locker :
kwan video library skuiz haifany kaz
2026-09-15 20:39:08
0
fabison_fabinho
Fabison Fabinho :
kaweke tuta bas
2026-09-15 19:36:41
0
titus.mvanda2
Titus Mvanda :
Kwan Ile VAR ya mchongo ilikuw wapi
2026-09-15 20:15:21
22
user17808755754475
zams💯🌺 :
subr kesho Simba uichambue tuachie yanga ye2
2026-09-15 20:33:00
0
user32469065261882
lameck ezekiel :
Usema kweli shida so marefa ila shida viongozi wa yanga wananunua sana match ili washinde lakn sio kwa uwezo wao
2026-09-16 04:24:09
17
user5410747773590d
[email protected] :
clementi mzize anawasubili Kwa hamu sana
2026-09-15 19:21:28
19
nasibu367
Nasibu :
veila vyanini xx
2026-09-15 20:58:31
0
ericking1444
King 14 👑 :
yanga bigwa tulijua mtasema 😁😁😁
2026-09-15 19:18:43
7
scotthopebill
scotthopebill :
Mpira sio mgumu. Shida ipo kwa viongozi wa Yanga wana nunua sana mech. Kila wakati tu hesabu point 25 kila mwaka za yanga zipo free tu.
2026-09-15 20:48:18
7
user8122163717220
ally habibu :
kati yaww narefa nani anazijua Sheria zampira Bado nyie
2026-09-16 02:52:49
4
josephmaliwa223
Joseph Maliwa :
Nilichogundua jamaa anatumia mda mwing kuifatilia yanga kuliko timu yake YANGA BINGWA
2026-09-15 23:10:18
2
izackizack04
izack@og :
mm so mshabiki wa Tim yoyote ila io so penalt io men 2 men mana mikono uwqnjan kawaida 2
2026-09-16 05:08:12
3
chusse07
CHUSSE JR :
ungekuwa Simba angetoa penalty na red card
2026-09-15 20:38:17
8
sechris16
sechris16 :
clear penat
2026-09-15 21:03:51
2
kelvingenius
kelvingenius :
😂😂😂 wangeenda FVS kwan si ipo kwaajili ya makosa ya waamuzi
2026-09-16 08:33:45
0
last.born.wa.12
last born wa 12 :
kwann coach asiombe VIR
2026-09-15 21:33:33
0
user31123775394266
user31123775394266 :
kwaiyo wewe unatakaje
2026-09-15 19:37:03
1
mmwikwabe9
@mwikwabe9 :
Hatuna marefa kaka tuna wahuni tu na wala rushwa.
2026-09-15 20:55:00
1
traore.the.great
Traore the great :
Kocha wa geita alitaka kuibeba yanga kwanini hakutaka var isngaliwee???
2026-09-16 01:14:08
0
kashyusedcartz
kashy649 :
Azam na police game ya kwanza ilitoka penalty Kila siku na sema washuke mgongoni,
2026-09-16 05:07:13
0
chellin4545
chellin :
angalia bundersliga alf uje tubixhane😁
2026-09-15 20:08:16
1
user4439314869977
elias lemaitay :
wape basi
2026-09-15 19:25:06
1
shabanindulu7
shabanindulu :
HALLOOO NAITWA MAGEMBEE NI MUZAJI WA MAHADIWEA😂
2026-09-15 20:22:09
4
To see more videos from user @sportland_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About