@paulo_simonii:

PAULO_Tz
PAULO_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 19:56:30 GMT
577800
55277
302
5092

Music

Download

Comments

roadlife_4life
𝑺𝑻𝑨𝑹𝑩𝑶𝒀_𝑴𝑨𝑳𝑼𝑴𝑬 :
Naamka naenda wapi niambie na kwenda
2026-09-16 07:47:34
188
shamney.og
Shamney og :
me mama angu ana nyumba jaman nasikia raha vpii yan nalala kujigalagazaa🤣🤣
2026-09-17 05:24:33
29
victar.naiman
mamen victar ✅ :
sasa sina kazi naamka naenda wapi kaka tukiamka mseme tuende wapi na tufanye nin
2026-09-16 18:49:54
39
jaj749643397
JAJstar ⭐⭐🌟🌟 :
sasa niwahi kuamka niende wapiii
2026-09-16 09:55:03
16
tkhqdy59zh627a
Manyara :
Mi nalala zangu liwalo na liwe😂
2026-09-17 04:44:21
14
hajra561
HAJRA :
tulioamka mapema tujuane hapa 😂😂😂🥰🥰
2026-09-17 07:27:38
10
q.gal464
Shania istore :
niwakumbusha ndugu zangu sui kila ushaur ni wakufata😅
2026-09-16 04:21:24
18
traveller_81
Malunde 255 :
Mie sina Ila kulala siwezi acha
2026-09-16 13:56:55
10
maytee531
Teres 🌺 :
Nimeamka saa 11 haya naenda wapi?
2026-09-16 19:42:33
5
bablzo
Ally bablzo29 :
Nalala sana kama yeye baba yangu hajarithi kitu kwa baba yake mm nani nisilale kisa urithi wacha nlale mpk nnapotaka kuamka😀🙌
2026-09-20 03:18:00
2
amoboy80
Amo Boy80 :
points
2026-09-17 07:22:02
1
amonrockcity
amonrockcity :
niamke mapema niende wap
2026-09-21 05:48:41
0
mkunaji33
aiem lucita🦋 :
Niamke niende wapi kufanya nini?
2026-09-15 22:08:26
8
shondvoice237
shon d voice :
sina baba wala mama na sina kazi nitaamka nikuje kwako
2026-09-16 19:41:40
5
jasminmrindoko
Jasmin Mrindoko :
Tena UKIFIKA kariakoo hakuna kusizia nawakumbusha😂😂😂😂
2026-09-17 10:38:51
1
emmanuelycandle
Rohosafi :
nilikua nmelala nkaamka chap
2026-10-09 06:00:23
1
josejustin58
Jose Justin :
hakika...
2026-09-17 19:55:15
2
www.tiktok.com.gem
GEM :
ndio maana nimegoma kuhama kwetu😁
2026-09-16 19:54:24
1
user8047862442624
Nduwimana Déo :
kweli baba
2026-09-17 04:27:43
2
adboy255_tz0
Onevoice##_01 :
Niamke niende waaaapiiii niende wapi
2026-09-16 13:02:55
2
riseupjey
Riseup Jey :
sis Mzee alishatiambi kuw mjitafutie vy kwen😁
2026-09-17 14:46:31
2
gress4686
Grace💦 :
nalala vizuri tu, tupunguziane ushauri bhana niamke niende wapi😂
2026-09-16 15:41:59
3
kikasi6
kikasi :
nitalisi at jina ra uko 😁
2026-09-16 08:25:24
2
t0shi43
MTU IMARA💪🗣️ :
Me nauza barafu niamke asubuh namuuzia nan😂
2026-09-17 07:08:02
3
To see more videos from user @paulo_simonii, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About