Yan me nipo form five we upo la nne aisee me Babu 😂😂
2026-09-16 06:22:02
0
Trainer jr. :
Tarehe saba mwezi wa nne ilikua ni April 😂😂😂😂😂
2026-09-16 06:00:36
5
zakh_violin :
we jamaa mtoto sana yan mm nipo la 6 ww la 2 duh
2026-09-16 07:43:42
4
Op Reagan :
au ndo nishakuwa muhenga..eti 2012 ni zamani sanaaa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-16 01:46:10
5
zeddy 👽 :
la 4 au sio 😅😅😅
2026-09-16 03:47:14
2
MACHALA TRONICS :
Kumbe we dogo janja t
2026-09-16 06:48:38
1
Beatha seleman :
uniamkie mi niko pr fm 1😅
2026-09-16 05:13:18
1
autodidacter ✍️ :
2010 et zaman sana ila genz😂😂😂
2026-09-16 01:15:26
1
Gnostic Theist :
2012 watu wako lanne watu ni wadogo sana aloo😂
2026-09-16 04:37:17
2
Boss kall_Movies :
basi nimezeeka 2010 ulikua darasa la pili ....
2026-09-16 05:12:13
2
️ :
2012 kumbe ulikuwa la 4, nimezeeka Sasa ngoja nianze kutoa laana 🤣🤣🤣
2026-09-16 06:05:20
1
Best fitness Gym :
intro ya kijana ya kua la 4 imenifanya nione nimesha zeeka ndiomana siachi mazoezi dadeki story yote anayo toa hapo mimi naona ni juzi tu[Tears of joy]
2026-09-16 03:02:04
6
whizzkid :
darasa la pili uliyajua yote hayo
2026-09-16 00:32:28
1
Miss Carter :
Eti zamani Sana 😅 2010 Juz tyuuh apo Ila GenZ
2026-09-16 07:37:58
1
NyawiCityFinest_NcT :
2012 nipo form 3 nyie mpo la pili alooo madogo
2026-09-15 23:00:39
3
Dad's Travis :
upo la pili unawaambia watu nakumbuka vizuri sana sema nimefwatilia document vizuri sio nakumbuka
🎬 Legend Steven Charles Kanumba hakutumia Instagram! 😱
Unajua kwa nini?
Instagram ilianzishwa tarehe 6 October 2010, ikiwa inapatikana kwa watumiaji wa iPhone pekee. 📱
Ndani ya miezi miwili, ilifikisha watumiaji milioni 1.
Baada ya miezi 18, Instagram ikawa available kwa Android pia. 🤖
Tarehe 9 April 2012, Facebook ikanunua Instagram kwa takribani $1 billion. 💰
Kutoka iPhone pekee hadi kuwa moja ya platforms kubwa duniani! 🚀
2026-09-16 03:35:21
2
To see more videos from user @mzabuni255, please go to the Tikwm
homepage.