JAMANI hii nchi hatujawah kupumzik tangu October 29🤣🤣🤣 mara Wema kajifungua, punde si punde Zuchu na baby shower hatujakaa. Sawa miaka30 ya Bongo flavour na tunaanza kukaa Sawa Dotto Magari kaathirika, Dotto analet vipimo kutoka Zanzibar, mara kuna mtu katoka kigoma na baiskeli mpaka kawe kwa mwamposa, mara police wamechukua simu ya pipytida mara Nchimbi anatupanga tudai katiba kabla hatujakubali Wema kawa single mother tunaanza kutaharuki Baba Nchimbi kajiuzulu haya tunaamka asubuhi kumbe CCM walimfukuza huyu Mzee sasa ndio nataka kutulia nakuta mwamposa kaangusha mchawi huko Arusha alikuwa anatoka bariadi kwenda mbeya daaa hii kasheshe nayo sijakaa vzur kuna free juma jux🤣🤣🤣 cjakunywa ata chai maua sama ni kajifungua😅
2026-09-16 05:47:44
0
James michael :
♥️♥️♥️
2026-09-15 20:29:59
0
radhia :
🥰
2026-09-16 05:20:05
0
Mo Khaan :
🥰🥰
2026-09-16 05:35:18
0
Ademola..20 :
🥰
2026-09-17 15:07:19
0
manyweele aluminium glass :
🥰🥰🥰
2026-09-15 20:26:29
0
Denise Swahiba :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-17 18:31:22
0
To see more videos from user @rushy048, please go to the Tikwm
homepage.