@tingamedia: WAFUKUZWA KANISANI NA MCHUNGAJI KISA MAVAZI! 😳 Wanawake hawa walifika katika Ibada ya Ndoa ya rafiki yao huko Makambako, Njombe, lakini ibada hiyo ikageuka kuwa siku isiyotarajiwa baada ya kudaiwa kufukuzwa na Mchungaji wa kanisa hilo kutokana na mavazi waliyokuwa wamevaa. Sasa swali ni hili👇 Kwa mwonekano wa mavazi yao, walistahili kuendelea kushuhudia ibada ya ndoa ya rafiki yao au Mchungaji aliwaonea kwa kuwafukuza? 👉 WEWE UNGEKUWA MCHUNGAJI, UNGEFANYA NINI? 👉 UNAONA UAMUZI HUO WA MCHUNGAJI ULIKUWA SAHIHI? Tuandikie Maoni Yako Follow Fidia Tinga Kwa Update Zaidi. #TingaMediaUpdate #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿 #viral #trending
Fidia Tinga
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 20:49:48 GMT
Music
Download
Comments
leeonJ :
nyumba ya mungu sio club he was right
2026-09-16 05:55:40
11
Kimbwi Grace :
safi sana mchungaji fukuza kabisa hao
2026-09-16 05:18:51
134
wille elesto Mwangila :
mungu ambaliki mchungaji yuko sahii
2026-09-16 05:15:18
97
user6636466661056 :
mchungaji mitano tena
2026-09-16 06:35:16
56
Mchapo Jr75 :
namba ya mchungaji tafadhali nataka nitoe fungu la kumi
2026-09-16 08:06:54
86
Alex Julius :
yuko saw[Pray]
2026-09-16 19:12:14
0
master 24 :
m Niko na mchungaji we je
2026-09-16 12:14:18
45
Blastus Maligite :
mchungaji yupo sahihi
2026-09-16 01:09:15
59
JHNS KELLER ELCTRNIC ▄︻̷̿┻̿═ :
malalallalalalalalalaalalawoooo
2026-09-16 14:15:03
1
Charles marco :
wanao mpongeza mchungaji karibu hapa[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-16 16:14:09
1
Eliud ndabigeze :
mungu haangalii mavazi nani kakuambia
2026-09-16 17:01:09
7
mtumishi wa baba :
pastor pastor🙏🙏🙏🙏
2026-09-16 12:34:15
5
JuJu_ki😍 :
kwer bwana
2026-09-16 04:58:56
3
esterjimmy3 :
nimempenda huyo mchungaji
2026-09-16 06:36:11
16
Being Fau⭐⭐ :
bora wangekaa kimya maana wanazidi tu kujiaibisha😂..wangevaa hivyo ukumbini sio kanisaini
2026-09-16 12:19:55
11
JASTIN NKOSYA :
safi mchungaji
2026-09-16 05:36:30
14
williammussa926 :
mchungaj nakupa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
2026-09-16 06:35:44
13
bjoshua :
Mchungaji nakukubali.
2026-09-16 17:17:34
5
mamy li🦋💋 :
n kweri hayan stala
2026-09-16 08:38:50
4
Damian :
Huyu mchungaji yuko sahihi
2026-09-16 06:09:04
6
Agness Kaila :
Mchungaji yupo sahii sana
2026-09-16 07:11:28
6
Mbilinyi✍️📖 :
Mungu anaangalia vyote jamani mnasoma Bibilia gani ninyi?
2026-09-16 05:48:58
42
Mtu wa Mungu :
kanisa sio klabu
2026-09-16 04:42:43
42
highness 330 :
Mungu ambariki milele ndio mjifunze
2026-09-16 06:11:13
6
toziii 1 :
hata mimi kanisani kwangu musije
2026-09-16 12:51:53
6
To see more videos from user @tingamedia, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.