@nchiyangukwanza: UJUMBE KUTOKA BAHARINI TANGU 1877 UNATUFIKIA 2026

nchiyangukwanza
nchiyangukwanza
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 20:53:27 GMT
650
150
16
16

Music

Download

Comments

taifahouse
TaifaHouse :
Well narrated
2026-09-16 04:19:54
1
user3978724327287
TANZANITE :
Madhara El Niño yanazuilika tuchukue tahadhari
2026-09-16 07:59:00
3
baabuubaabuu6
Baabuu@Baabuu :
Tufuate na kutekeleza ushauri kutoka kwa wataalamu wa hali ya hewa ili kuzuia athari za El nino
2026-09-16 08:00:37
3
wande61763
Wande Mboje :
Tahadhari Tahadhari Tahadhari
2026-09-16 08:00:48
1
selous06
kid1997 :
Tuchukue tahadhari kuepukana na athari za El nino
2026-09-16 07:50:50
1
user5131025665309
yanga tamu :
ujumbe safi
2026-09-16 07:39:10
1
crocodile8334
Crocodile83 :
nje na tahadhari tumuombe Mungu kwa wingi atupunguzie endapo ikinyesha atuoneshq njia za kukabiliana nqzo kwa uwepesi
2026-09-16 11:12:18
1
wahubani
WAHUBANI :
Sio jukumu la serikali pekee la kutengeneza mazingira ya kupunguza atharj zaEl min'o bali ni jukum za kila mtanzania kuhakikisha anachukua tahadhari na kuandaa mazingira, uchumi na makazi sahihi #Tanzaniaissafe na itakuasalama kama ushirikiano utadumishwa
2026-09-16 07:52:50
1
bashi.banduka
Bashi Banduka :
Mwenyezi atulinde na janga hili kubwa.
2026-09-16 08:54:09
0
faru1590
faru1 :
elnino ni panga tuchukue tahadhari
2026-09-16 15:48:28
0
boazmasatu
Boaz Masatu :
Tuchukue tahadhari
2026-09-16 07:48:36
0
ww.bello6
GRACIE :
Kuchukua tahadhari ni jukumu la kila Mtanzania na sio serikali peke yake
2026-09-16 08:49:19
1
scavenger0093
#scavenger :
ni onyo kwa Ulimwengu
2026-09-16 09:26:39
1
vitombwete
Steven :
chukua tahadhali kabla ya hatari
2026-09-16 07:42:06
1
chausikutz2
chausikutz :
👏👏👏
2026-09-15 20:59:28
1
taifahouse
TaifaHouse :
👌👌👌
2026-09-16 04:19:41
1
To see more videos from user @nchiyangukwanza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About