@mbeya9safari: MABASI YA KWENDA DAR 🚌🔥 NI MWENGI SANA tembelea Tovuti yetu uchague Basi lako pendwa sasa na uweze kukata tiketi yako 👇 https://mbeya9safari.vercel.app/safari (Link ipo BIO/Profile) Au wasiliana nasi kwa namba 0786680260 kwa Msaada Zaidi #mbeya9safari #hainahajayakuangaika 🤝 Sponsored by @SWAHILIFAMILY

Mbeya 9 Safari
Mbeya 9 Safari
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 21:13:10 GMT
63454
2653
79
76

Music

Download

Comments

jaytik.boy136
Jimmy🗽♏ :
dah,!nakumbuka sikupokelewa simu kalbu MWEZI mzima nikalala stendi mwezi,,bila kuwa na Ela yyt,,nakula ukoko tyu😭😭😭,, until mungu alipo badilisha maisha yang dah nmekumbuk mbali sana
2026-09-16 07:30:44
36
ibrandmsami
Ibrand msami :
kulala ubungo wakati apo ni mbezi magufuri
2026-09-16 06:58:56
10
grldlemakogrldlem
Gerrald air condition :
wengine wanakuja dar hana mtu wala nini akishafika anaanza kutia uruma akiulizwa vipi ooh ndugu yangu kanizimia simu kumbe hamna cha ndugu wala nini
2026-09-16 09:46:44
7
user2275992609171
BARAKA SHIRIMA :
Tatizo mkishafikaga apo simu zinaishaga chaji
2026-09-16 05:26:51
7
user6826265497380
musajamini :
ila watu wamwanza muache kukurupuka kuja dar juzkat nilienda mbez kupokea mzigo nikakutana nakijana mmoja katokea mwanza kazimiwa cm na mwenyeji wake
2026-09-16 07:31:22
2
neemaai1
neema❤️ :
Kipnd hicho stand ipo ubungo e simu unapigw haipokelew 😂😂
2026-09-16 08:03:56
4
user8621625499993
Alex :
ila ukiwa na Ndugu dar ni miyeyusho
2026-09-16 08:01:45
0
jpatrickgmail.com
jay matelephone 📱 :
kuna sisi tuliwakuta ndugu wametusubil kabisa apo apo 🥰🥰
2026-09-16 12:07:03
3
adelphine.kaganda
ADELPHINE KAGANDA :
ndo siku ya kwanza kulala gest ya horofa shikamoo dar😁😁😁
2026-09-16 06:34:58
3
sam.mallya3
Giantpoultryfarming :
Hv mjue Mtandao Dar unazinguaga mtu ukija kutoka mkoa wa mbali? yaan ukiwa mbali mawasiliano yanatulia Sana lkn ukifika karbu mawimbi yanakuwa Makali kutokana na msongamano hvyo unaweza ukapiga simu hata miezi SITA unaambiwa hazipatikani au zinatumika tu mpka hyo simu yako izoee mazingira
2026-09-16 06:05:32
1
kablaza23
mr davide :
mm mwenyew walinizimia sm namm nikaamua kuzima yangu nikaamua ela yangu ya kamtaji ikanisaidia gari la usiku.
2026-09-16 09:45:07
3
meyounusrat
Nuh💝🫪🩸Mnyiramba :
sio hapo ilikuwa ubungo wewe saiv wanashika ila hawapo dar tena
2026-09-16 06:13:27
3
darvoh_tz
Darv♥️h_Tz. :
MTANDAO UNASUMBUA SN HAP😂
2026-09-16 10:42:17
1
user8374298169481
binti mjwau :
sio kumkumbia ndugu yangu aisee
2026-09-16 15:07:12
0
nousernamee485
Isser Ndaller :
nilijiokitea mams ya mkoani saa saba usiku hapo magu temirnal .... mjomba ake hapokei simu 😂😂😂 like nyingi kwangu 😂👍🏻
2026-09-16 13:09:10
2
_didi2555
daisy_🇹🇿🇰🇪♊️ :
ila niseme ukwel kuna mtu anasikia upo dar basi anajipandisha gar bila taarifa akifika ndo anakwambia nimefika njoo unifate🤣🤣 sa jiran analala godawn af alete mwenzie jaman ili akamtangaze kijijin jmn kwao
2026-09-16 08:50:09
1
iddyhamis15
iddy :
hahahhaha ila kweli😂😂😂😂
2026-09-16 05:27:10
0
lice.alice.alice7
Alice💕 :
hapo zinapokelewa simu za dada wa kaz tu kaka😂😂😂
2026-09-16 15:33:24
0
kilumile5
Oscar Oscar jr :
Mimi nilifika kaka kashafika ananisubiri😂😂😂
2026-09-16 12:12:31
0
user8668881866013
official afro fans :
me namshukur mungu an braza niliponea chupuchupu sita sahau
2026-09-16 13:45:04
0
batkar.tz.mnyama
Batkar tz mnyama :
kk mjomba arinizimia sm stosahau rkn maripo niapa apa kashafer kasharudi kgm Sasa ivi namshinda asirimi%99 iyo moja nikwajiri ya pumzt
2026-09-16 13:36:56
0
angelinock1
Amnah141 :
mimi😂niliambiwa ukifika stend Kuna mtu atakuja kukuchukua nafika wote hawapokei...inabidi niunge kariakooo😏
2026-09-16 16:11:00
0
stamphord2
Justin stamphord :
jiji la dar lamoto wat wanatelekez wat hap
2026-09-16 12:20:48
0
user8528000913801
user8528000913801 :
kwery kbs kiongozi
2026-09-16 05:52:05
0
To see more videos from user @mbeya9safari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About