bado amjachema[Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-16 08:35:10
0
awadh⚓🛳️ 🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
weeeee kwaooo😂😂
2026-09-16 05:17:30
1
mayassa-david :
msifanye dunia iishe wakati ndo kwanza imeanza kuwa tamu🤣🤣🤣
2026-09-15 23:12:30
16
god's plan :
ndio tatizo la wanayanga sio wavumilivu tofauti na wanasimba
2026-09-16 05:22:38
4
Gadaff :
Asa kocha angefanyaje pale kuna Red wazee
2026-09-16 01:36:09
2
Majaliwa Ayubu, MD :
Shida ya mashabiki wengi wa kitanzania. Tulianza kuzipenda hizi timu za kariakoo (Simba na Yanga) kabla ya kuupenda mpira.
Imagine unaupungufu wa mchezaji mmoja umepata goli kipindi cha pili umeweza kulinda mpka dakika ya 75 then unahitaji acheze mpira wa kushambulia😳??.....Ila tungeupenda mpira na kuujua kabla ya kuzipenda hizi team basi haya mambo usingeyaona. Imagine 6 wins out 6 lakin watu wanalaumu😅
2026-09-16 03:33:10
4
sudy tz👆👆 :
kocha aachwe mpaka octoba 3🤣🤣🤣
2026-09-15 23:56:41
2
Black flower 🦋🌹 :
ata sis tulipewa red card na hao hao geita gord lakin hatuku pelekeshwa namna iyo 😁
2026-09-16 06:00:13
3
Mr Eliudi :
Milio imeshaanza kusikika
2026-09-15 22:26:12
8
user2461229054902 :
jmn c mlisema kocha ni mzuri tena Leo mnamkataa
2026-09-16 04:00:07
4
Erick 🥷🎙️ :
napenda vitu kama hivi 😂
2026-09-16 05:31:19
0
Robert Thadeo :
Kwani imekuwaje🤣🤣🤣?
2026-09-16 06:32:48
1
MR KANJU DECORATION :
Kwani dabi lini
2026-09-16 05:42:09
1
Issaya David :
anaitwa nanii😂😂😂😂😂😂
2026-09-16 07:06:16
1
Stuwart Kusiga :
kumekucha 😂
2026-09-15 22:37:24
4
Egmaya Moses :
😂😂😂 me napenda vya hivi
2026-09-16 05:02:04
2
rapha :
kweli kaka
2026-09-15 22:50:57
3
Vitalis Msalanji :
nilisema sikusema mwezi 12 tu hatoboi
2026-09-16 06:14:05
1
faustinebituro5 :
kumbe yesu yupo njiani
2026-09-15 22:40:49
3
Jk :
kwa kweli Geita kawapelekea moto.
2026-09-16 03:57:53
2
ojence ojence :
naomba kuhuliz swari mashabiki na mapenz wa mpira hivi anaye cheza mpira dakika 90 uwanjan hv huwa ni wachezaji au ni kocha
2026-09-16 07:03:46
1
Mama la Mama :
christmas mbali nyerere day afiki 🤣🤣🤣
2026-09-16 05:39:08
1
Dullah Hassan :
hahahaaaa jaman yanga mbona mapema sana😂😂😂😂
2026-09-15 23:53:32
2
💭 :
iiiiiiiiiiiiiiii eeeeeeee 😂 oya oyaaa oyaaaaa oyaaaaaaaaaaaaa oyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kumekucha huku
2026-09-16 04:10:26
2
To see more videos from user @coolie_brian, please go to the Tikwm
homepage.