@itscarlue: MWANAMKE..!! Sikiliza kwa makini sana namna malezi yanavyoharibu watoto. - 🎙 | @scanda24 | @paulinmkama | @charles_matukio - Credits | @iroc.tv - #itscarlue #foryoupage #reallifeheroes #workhardplayharder💯 #quranrecitation

𝐓𝐡𝐞 𝐫𝐞𝐚𝐥 𝐂𝐚𝐫𝐥𝐮e ♾️
𝐓𝐡𝐞 𝐫𝐞𝐚𝐥 𝐂𝐚𝐫𝐥𝐮e ♾️
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 15 September 2026 21:28:23 GMT
23534
1584
35
112

Music

Download

Comments

shabani_store
SHABANI STORE :
Nimesoma comment zote
2026-09-16 04:36:53
0
alfanickson
alfanickson :
Salute brother
2026-09-16 03:34:16
0
bonifacelazaro108
Boniface Lazaro :
very very fact bro
2026-09-16 00:09:27
1
71589494mass
EMMA G💖💖 :
Mimi wa kike ila kila ishu naongea na Baba angu hata iwe jambo gani gumu, Mama ana tumia hisia akisikia tu ana anza kulia au kulalamika lakini Baba ni msikilizaji mzuri sana na ana nishauri kwa utulivu
2026-09-16 03:42:53
5
ryhamsen
ryhamsen :
kuna watu wamelelewa bila baba na wako vzr kuliko walolelewa na baba
2026-09-16 04:17:04
3
herrycuttingmaster
Herry cutting master :
anaitwa nani huyu mbona kama nimemkubali🫡
2026-09-15 23:33:06
4
_didi2555
daisy_🇹🇿🇰🇪♊️ :
yeah seriously nataman nipate mwanaume mwenye angalau nusu akili or tabia za baba yangu that man is green flag all the time🥰🥰
2026-09-15 22:48:30
7
lyncherry6
mama amilen❤️ :
mimi ni wa kike ila nina tabia zote za baba angu na sitaki mwanangu awe wa kike au wa kiume awe na tabia hizoo jmn🥺
2026-09-16 04:27:09
1
richie.madoshi
richie madoshi :
fact
2026-09-16 04:45:15
0
aliaune_
Producer Lin 🇹🇿 :
right
2026-09-16 04:06:28
0
bradhadully
Bradha Dully :
Amini yani mwisho 94 ndo wanaume wanao jiamini na wanaotaka kuwa kiongozi na huwo ndo msimamo wa mwanaume...🤔
2026-09-16 00:54:09
2
lennie0531
HELSA ELEGANCE 🛍 :
if my son ever find a woman like his mother, he's lucky then🥰
2026-09-16 04:15:45
0
abdallahtije
Abdallah Tije :
sio wote kaka
2026-09-15 23:26:34
1
fatmarashid4270
Fatma Rashid :
Allah amraham baba angu.
2026-09-16 03:31:06
0
lucykazungu
It's nana :
hiyo ni kweli kabisa nautu uzima wangu nikirudi nyumbani sitoki bila ruhusa nasichelewi kurudi tena baba akiwepo sitoki kabisa kama sio lazima
2026-09-16 03:59:42
0
__50201
🐹𝐻𝑖𝑚_𝐷𝑎𝑟𝑘𝑠𝑐🌸𝑟𝑡 🐹 :
Nataman iwe hivi kwenye familia yangu
2026-09-16 03:38:28
0
miss.shadow7
miss shadow :
kuna baba angu nijanga/vita yadunia Allhamdullah 👏 mungu nimuomba asinipatie kama baba angu namshukru Allah nina baba mlezi kiongozi sahiii kwenye maisha yangu🥰🥰💪👏
2026-09-16 02:59:41
0
washatz2
washa :
UMEONGEA KIMASTA SANA ✌️
2026-09-16 04:17:06
0
riamah72
Ria🥰 :
Men and submission 🙄
2026-09-16 03:29:58
0
ramazanicgkause7
ramazanicgkause :
🥰🥰🥰
2026-09-15 22:18:11
1
johnsonmbisse
ZAVALLA DE BRUYNE9 :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-15 22:40:04
1
bravian_phd
bravian_PhD :
📌📌💯
2026-09-15 22:31:31
0
To see more videos from user @itscarlue, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About