@upupu255: Hatua za kumiliki silaha Bongo #tanzaniantiktok🇹🇿 #viralvideo #fyppppppppppppppppppppppp #fypシ #tiktokkenya

Upupu
Upupu
Open In TikTok:
Region: ZM
Tuesday 15 September 2026 21:40:38 GMT
107406
3221
68
253

Music

Download

Comments

fredrick.erick10
Fredrick Erick :
kwani silaha ni nini?
2026-09-17 13:48:22
3
user3808787721vikram
Ahmed :
sifa zote nnazo naanzia wapi kupata hiyo silaha
2026-09-22 05:15:14
2
johnluhende5
Ngosha Family💪 :
hata maombi ni silaha kubwa
2026-09-17 08:44:57
6
bk76949
Bk :
mbn haongei kustakiwa ni kufikishwa mahakamn na hukumu ikatoka je ikwia iliishia polisi
2026-09-21 10:14:05
0
lameckkusimula
lameckkusimula :
mbona kunawatu wanakunywa pombe na wana silaha
2026-09-21 18:28:32
2
thebosslady988
thebosslady988 :
Mambo nitakayo kuyafahamu hayo
2026-09-22 08:19:06
2
theonasmadege
Theonas Madege :
Mimi naweza miliki soon nitatuma maombi sifa zote ninazoo
2026-09-16 18:41:16
3
msafili.mgeni
Msafili Mgeni :
ujajibu unatakiwa uwe na viambatanisho gani kama mimi nataka naaziya wapi ndiyo swali langu
2026-09-22 09:46:46
3
jm626.com1
jm :
one day Yes
2026-09-16 17:14:47
1
neema.msacky8
Neema Msacky :
silaha shingap maana nina vigezo
2026-10-08 15:11:48
2
chola.kachal
ALEX_KIMANI :
nime qualify😁
2026-10-07 10:12:57
0
user1819519854011
user1819519854011Mr Mbuji :
baaaassssssi
2026-10-11 14:59:37
0
nuelsesegmail.com2
Rass Vegas @sese :
kushitakiwa au kufungwa mbona sielewi
2026-09-17 11:30:21
1
jkavunatz
Kavuna Tz :
mbona sifa zote ninazo
2026-10-06 21:23:41
0
father.patson
father patson :
pia inatakiwa awe na hela
2026-10-11 06:54:51
0
andrew.peter22
MBEBA MAONO :
na kuhusu kipato hilo limekaaje
2026-09-18 07:39:52
1
kakamkubwa12
kamimi store🫶 :
Mbona hajaongelea kiwango cha mali au haihusiani
2026-09-17 04:39:49
1
mziwandapark
chief mziwanda :
Sheria inasema ukalipie siraha unayotaka kutmia Kisha uanze kufatria vibari je ikishndkana wataludisha pesa ?
2026-10-11 17:15:48
0
user9219037915539
fundi mkuu :
je kuna malipo yoyote unapoenda kuchukua silaa au malipo kila mwezi
2026-10-02 09:00:35
0
lilyhunter050
Kiddyhunter05🐒☘️ :
Kwn inatakiwa tukamuombe nan?
2026-09-24 09:16:29
0
user6216077176678
user6216077176678 :
watanzania sasa turuhusiwe kila.mtu amiliki silaha mana sasa kila.mtu ajili de peke ake mana matukio ni mengi ulinzi.umeshindwaaa
2026-10-14 14:09:03
0
abuuhstore
abuuh store :
mnawatambuaje watu wasio na sifa
2026-10-14 13:40:48
0
user7281654361941
Ramze@ :
naona sasahv n wakati wangu sahihi wakumilik silaha
2026-10-06 09:20:03
0
david.mr.focas
david mr focas :
maliziaa Awe na HELA isiyo pungua billion 1
2026-10-06 05:01:23
0
ashrafumtumbi
Ashrafu Mtumbi :
mm Sina sifa apo hat moja
2026-09-21 19:31:53
0
To see more videos from user @upupu255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About