Alli Nuno well said ABC...but u people say xyz....this is what this people of kisauni wanted me pia nko utange bro ni kubaya sana pia
2026-09-16 08:19:08
1
. :
Hon Bedsimba ako wapi kama mp wa hio area
2026-09-16 04:25:49
11
Freddie :
Watu wa human right wako wapi sasa??
2026-09-16 16:58:19
4
Boss Mama♥️ :
waizi wakiuliwa mwasema serikali haifanyi haki kwa kumshoot😥😥
2026-09-16 05:29:25
6
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-09-16 04:53:01
0
Bilali bwoy :
nikubaya bana mm niliponea chupuchupu hapo basket ball na police station iko hapo
2026-09-16 12:10:37
2
mwajoha Joseph :
Poleni sana ndugu zangu ni kweli tuko hali ya kutafuta bt ingekua bora mzingatie masaa ya kazi
2026-09-16 02:53:46
5
Jedidah :
bamburi kiembeni loma atari
2026-09-16 04:53:27
3
Khamsoh254 :
poleni sana ila tarehe ni muhimu kwenye habari sasa hatujui ni ya lini
2026-09-16 07:57:48
0
madick :
Nuno aliposema wazazi waliandamana kutetea watoto wao
2026-09-16 11:05:29
5
Aslãn🎖 :
Kwani anaongea kabila gani uyu?
2026-09-16 05:25:18
0
coastal guy :
serikali umetulia tu
2026-09-16 05:52:36
1
Hared Hussein :
Mombasa county
2026-09-16 12:01:52
0
Mima's boutique :
jamani na Hawa watoto wakutoka mapema kwenda shule kama SAA kumi na mbili asubuhi na kurudi SAA moja usiku Wana usalama Gani jamani....???je wako salama
2026-09-16 04:51:31
1
mpenzi :
poleni sana. ila kwa nn kauli ya Ali nuno muliipinga
2026-09-16 08:14:30
1
Chidy dangote :
It’s so sad🥺 tupigieni kura watu wawajibikaji
2026-09-16 08:38:42
1
Kazungu wa Mudzini :
Mungu saidia watu wako
2026-09-16 16:55:39
0
abel 220 :
polenisana
2026-09-16 04:38:08
0
Zed bee 🐝 :
kisauni sikupendi kabisaaaaaa
2026-09-16 19:15:39
0
ALI DINI :
alinuno fanya kazi yako...sisi watu wa bodaboda twaumia sn
2026-09-17 04:52:20
0
myqoz :
wakati huu wa campgn mambo si mazuri
2026-09-17 05:55:25
0
Bellah’s Touch :
Vyombo vya usalama wajibu nini na jamii ilijitokeza kupinga amri ya ali Nuno
2026-09-16 23:51:59
0
🦁SIMBA MAPESAA💸#001 :
onyo onyo ukiwa uko na bike mpya kwanzia saa tatu usiku iwe mwisho mamangu mzazi hawavijana wakikupata na bike mpya hawakubakishi kama ni serikali haisaidi languni hilo🙏
2026-09-16 20:39:46
0
Lucy Wakesho :
Ni kubaya Mungu atulinde wote
2026-09-16 20:05:36
0
SHATER BEAUTY PRODUCTS :
sasa hizi taarifa ni za mwaka gani hata tarehe hamueki tutajuaje ni za kitambo huh
2026-09-16 05:50:01
0
To see more videos from user @rajab_le_general, please go to the Tikwm
homepage.