@fredmsungu: Kama kuna jambo moja nina uhakika nalo na linanipa ujasiri wa kuiona kesho bora (better future) kuliko leo, ni kwa sababu ninajua huwezi kumtenganisha MUNGU na NENO lake na NGU YAKE. Hii inanipa ujasiri mkubwa kukwambia bila kusita kama una neno, haijalishi mazingira yamekusaliti kiasi gani, HIYO NJIA INATOA. Jambo kubwa mwanadamu anaweza kufanya, ni kumwamini MUNGU kwa neno lake, unaweza ukawa na mashaka na kila kitu ila sio neno lake MUNGU.. Hili halina historia ya kupotea.Na hata ukiona kuna neno kama halijatimia ni kwamba haujatimia wewe ila neno halijawahi kuanguka bure Isa 55:11 “ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.”
fredmsungu
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 03:01:45 GMT
Music
Download
Comments
josephleonard393 :
Dooh!!!! this pastor 🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽
2026-09-25 05:05:46
2
Boha Johnson :
Ameen ameen Baba
2026-09-16 14:19:51
2
edsonevodius810 :
baba unapoint, ubarikiwe sana🙏🙏
2026-09-16 11:39:35
1
W@LOX🔥 :
amen baba
2026-09-16 22:29:59
1
Papaarich@2810 :
Amen 🙏
nitashuhudia makuu ya bwana katika masomo na maisha yangu
2026-09-16 18:01:15
1
Joseph Kalima :
amen 🙏🙏
2026-09-16 05:55:16
0
Joshua Mwamita :
Ameen
2026-09-17 06:28:08
0
Monalisa Khenry :
Amina
2026-09-16 14:04:45
0
Fey :
Ameeen
2026-09-16 08:54:44
0
tinalegibson :
amen 🙌🏻🙌🏻🙏🏻
2026-09-16 08:21:02
0
kamoney :
Amen
2026-09-16 07:49:32
0
jj :
amen baba
2026-09-16 16:34:16
0
Gladnessevarist :
Amen Baba🙌🙌🙌
2026-09-16 08:02:42
0
MC.LAST BORN :
Amina
2026-09-16 18:40:58
0
MC.LAST BORN :
Amina
2026-09-18 16:24:05
0
fredyasante2 :
🙏
2026-09-17 15:43:09
0
reilah :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-20 09:44:00
1
frandy17 :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-16 09:16:38
0
Godbless Temba :
🔥🔥
2026-09-16 04:50:08
0
THE SHUUZ EMPIRE 🕋 :
🙏🙏🙏
2026-09-17 05:35:37
0
CJ ELECTRICAL INSTALLERS.🦺 :
🔥🔥🔥
2026-09-16 03:58:45
0
Lucky Diana :
🙏🙏🙏
2026-09-16 03:33:12
0
fadhilichambuli :
AMEN IN THE NAME OF JESUS CHRIST
2026-09-16 04:41:16
0
To see more videos from user @fredmsungu, please go to the Tikwm
homepage.