@chamulungu_tv: HECHE AMKAANGA LISSU MAHAKAMANI, HOJA YA MASHAHIDI WATATU YAIBUA SWALI Katika mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, shahidi John Heche ameendelea kutoa ushahidi mahakamani. Katika hatua nyingine, Lissu alieleza Mahakama kwamba bado ana mashahidi watatu ambao anahitaji kuonana nao na kupanga namna ya kuendelea na ushahidi wake. Mashahidi hao ni IGP Camilius Wambura, CDF Jenerali Jacob John Mkunda na DCI Ramadhani Kingai. Mahakama tayari ilitoa wito kwa watatu hao kufika kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi. Hoja iliyojitokeza ni nini kitatokea iwapo mashahidi hao hawatafika mahakamani baada ya kuitwa kwa wito? Swali hilo limeendelea kuvuta mjadala kuhusu hatua inayoweza kuchukuliwa na Mahakama katika kuhakikisha mashahidi walioitwa wanapatikana kwa ajili ya kutoa ushahidi. IGP Camilius Wambura, CDF Jenerali Jacob John Mkunda na DCI Ramadhani Kingai ndio mashahidi watatu waliobaki ambao Mahakama iliruhusu kuitwa katika upande wa utetezi wa Lissu.

CHAMULUNGU_TV
CHAMULUNGU_TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 03:04:18 GMT
36566
822
30
30

Music

Download

Comments

mjomba.wenu4
mjomba wenu :
wasifananishe sheria na majukwaa ya kisiasa ambapo huropoka na kutukana matusi
2026-09-16 03:36:24
9
galib5439
Galib :
ndio maana mnaambiwa mahakama inajitegemea na inatenda haki sasa mnaotukana mitusi mpo wapi😳
2026-09-16 17:11:20
2
happymbogela6
happy 💃💃🎉🙏❤️ :
jamani mataifa ya haki za Bina dam mpo wapi huyu baba mbuna atendewi hak
2026-09-18 11:29:41
0
makoye2753
Makoye :
Watanzania wengi hatuelewi tuko nyuma sana lakn CHADEMA ni chama cha puppet leaders from external influences
2026-09-16 18:50:17
2
user4107610819756
[email protected] :
mkuu mm nikisema wanatukana ila chadema huwa inarewa ikikaziwa huwa wavunja amani
2026-09-16 10:15:01
1
unknownerror6969
unknown3rror :
mtu yeyote anahaki ya kupiga kelele anavyotaka ila ukifika kizimbani majamaa hawa wanamaswali yamitego ebana laah we unafikiri kwann lissu aliamua kua wakili wake mwenyewe
2026-09-18 12:02:36
0
user42113992980482
Rony :
kwan hii ni episode ya ngapi🤣🤣🤣
2026-09-16 09:34:58
1
mamadd087
Mama dable D :
2026-09-16 17:15:43
0
husseinamosimwanjela
YACO TV :
SIJUI !!!
2026-09-16 09:50:04
0
edinamhando0
user35780877815680 :
jaman mungu uko wap baba yetu
2026-09-16 12:24:46
0
yaumu.juma
Yaumu Juma :
😂😂😂😂
2026-09-16 07:49:28
0
mylifestillmylife
My Life Still My Life :
Sijui
2026-09-16 11:39:18
0
danstan.daniel0
Danstan Daniel :
haya majina ya DANSTAN..ni watu wenye akili sana
2026-09-16 04:49:36
1
idrashmakini
IDRASHMAKINI :
huyu jamaaa wananyonga mashahidi wake wenyewe viazi Kisha wanadanganyana wanajuaaa kila kitu chadema manyumbu wengi mnooo
2026-09-16 19:30:37
4
leveljamess
LEVELJAMESS :
Hii kesi ikiisha lissu nae itabidi awe shahidi wa mashahidi wake😂😂
2026-09-16 14:59:05
4
huyo.ni.mimi.kabi
huyo ni mimi kabisa :
heche kilaza
2026-09-16 13:39:01
1
injinia_5
injinia_3 :
uzur huyu ni shahid wake nwenyew
2026-09-16 05:41:58
3
jeniferkaiza8
jenifer kaiza :
woooyooooo adi lisu anomba kukutana na mashaidi kabla anataka kuwapanga na kuwapa uwongo🤣🤣🤣🤣
2026-09-16 07:50:15
4
yahya.majid48
Yahya Majid :
Shahid mwenyewe hajui anachokijibu😁😁😅😅
2026-09-17 02:31:51
1
kwarara77
said said :
following back
2026-09-19 13:01:27
0
ibrahimsuleiman194
Ibrahim Suleiman :
[Big LOL]😁😁😁😄😄😄😄😃😄😄
2026-09-16 17:47:29
0
To see more videos from user @chamulungu_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About