@bba_camera_store: Kama camera yako haina uwezo wa kushoot flat profile, Maelekezo yapo katika video hii #bbacamerastore #colorgrading #camerastore #cameraaccessories #cinematicgrading

BBA CAMERA STORE 🇨🇳🇹🇿
BBA CAMERA STORE 🇨🇳🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 03:35:53 GMT
6215
317
15
20

Music

Download

Comments

julius23june
Mr EXTRA LAYER :
flat profile😂😂 lengo la kushoot flat ni kupata wide range kubwa ya kuhifadhi data ya video, kama ni profile ya kawaida hivyo haiwezi kukupa hiyo wide range, kingine flat sio profile😂
2026-09-17 21:01:42
0
dutch.scana
DUTCH SCANA PHOTOGRAPHER WENU :
Tuone na mfano wa video ambayo umetumia hizo Settings Mkuu Bef&After
2026-09-16 08:25:12
0
ismaileditz1
ismaileditz1 :
sijawai kukupinga
2026-09-17 20:34:32
1
directordullyb
DULLY B :
director iyo mi nakataa kwa sababu hapo unakuwa umeset contrast na sio log format so ni kama umefanya colour grading ya log format cha msingi apo waambie wanunue kamera zinazoshoot flat na sio kufanya hivyo inaleta matokeo yaleyale
2026-09-16 04:01:49
0
hussein_omary02
HUSSEIN OMARY :
swali langu kwako 1. umevaa kofia ya DJI 2. tisheti ya NIKON 3. CAMERA ya mfano CANON Swali langu viatu vyako kwenye content hii hujavaa vya Sony huko ili kutenda haki?
2026-09-16 07:47:39
0
user1507825178795
user1507825178795 :
je? kama natumia fujifilim xt20 naenda wapi?
2026-09-17 03:16:48
0
kimongapro
♟️K I M O N G A♟️ :
Cine style pia wakiinstall inaleta matokeo mazuri pia
2026-09-18 10:32:13
0
user5044141404015
Sylvain vidéographer :
Alafu mimi wa lumix nita fanyaje kwani natumikisha cinelike-D
2026-09-16 12:02:58
0
To see more videos from user @bba_camera_store, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About