@brightherbs.tz: Hii ni moja ya hatua muhimu sana katika mwanzo wa ujauzito. Baada ya fertilization, taarifa za vinasaba huungana na seli mpya huanza kugawanyika. Lakini hapo ndipo safari mpya inaanza… 🔥 Seli moja inageukaje kuwa seli nyingi na kuendelea kuelekea kwenye kizazi? 👀 PART 7 ndiyo tutajifunza hilo. 👉 FOLLOW BRIGHT HERBS sasa ili usikose PART 7 mapema. #AfyaYaUzazi #Fertilization #Ujauzito #ElimuYaAfya #BrightHerbs