@shebyranco: Kuna jambo kubwa linaendelea chini ya uso wa Bahari ya Pasifiki—maji ya bahari yanapata joto kwa kiwango kisicho cha kawaida, na El Niño ya mwaka 2026 inazidi kutisha zaidi. Wanasayansi sasa wanaonya kwamba tukio hili linaweza kuwa miongoni mwa El Niño kali zaidi kuwahi kurekodiwa tangu vipimo vya kisasa kuanza. National oceanic Atmospheric Administration yaan NOAA inakadiria uwezekano wa zaidi ya 90% kwamba itakuwa very strong katika msimu wa 2026–27, huku ikiwa na takribani 75% ya uwezekano wa kufikia kiwango cha kihistoria. El Niño ni jina la Kihispania linalomaanisha “Mtoto wa Kiume.” Lakini usidanganyike na jina hilo la upole.Miaka mingi iliyopita, wavuvi wa Peru na Ecuador waligundua kwamba karibu na kipindi cha Krismasi, maji ya bahari yalikuwa yakipata joto kuliko kawaida. Kwa kuwa ilitokea kipindi cha kumkumbuka Mtoto Yesu, wakaanza kuliita tukio hilo El Niño. Wakati huo hawakujua kwamba huyo “mtoto” angekuja kuwa jina la tukio la hali ya hewa linaloweza kuvuruga mvua, kusababisha mafuriko, ukame, joto kali, kuharibu kilimo na kuathiri mamilioni ya watu duniani. Na sasa… El Niño amerudi. #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio

shebyranco
shebyranco
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 04:11:42 GMT
257038
7388
155
487

Music

Download

Comments

user8026188008582
lian :
.mungu simama mwenyewe
2026-09-17 15:57:53
44
phatina1390
Phatina Mbalaga :
mungu tunaomba tuokoe mwenyez mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-17 10:53:10
68
user8010123019087
pendo :
jamn watt wetu watapit wapi kwenda shule barabara zimebomolewa azitengezwi shy ndala
2026-09-17 16:07:49
12
allendottoofficial
it's aleco :
msituchanganye na nyie
2026-09-17 19:50:58
5
j.tina11
j tina :
kwa jina la yesu tutakua salama
2026-09-16 06:40:34
32
littleme748
Little me..2405 :
Mungu nakuomba utusamehe wote tulowahi sema au kunena kinyume na mapenzi yako, tunaomba mwisho mwema 🙏
2026-09-17 14:12:54
28
user8774926681619
user8774926681619 :
emungu tusamehe zambi zetu pia tuhulumie[Pray]
2026-09-17 12:57:51
16
magrethmgaya926
maggie :
Ee Mungu tunaomba utunusuruu na hilii
2026-09-17 13:22:46
11
bahatimorisi828
Bahati Morisi :
eee mungu simama nasi ee bwana utuokoe nahili zoluba ameeen
2026-09-18 16:51:30
5
mama.chalicha.coll
MAMA CHALICHA COLLECTION :
Msitutishe mbona kolona haikutuathili? Msituchanganye bana acha MUNGU Afanye kazi yake
2026-09-16 08:32:03
10
user573810614373
monica amosi 💞💓💕 :
mungu yup na sisi tumuombee🙏🙏
2026-09-17 17:44:51
4
fatmajuma779
faa :
Allah ndo mjuzi Zaid tumuombe mungu Kwa Imani zetu mvua ipite Kwa Salam na aman
2026-09-17 18:45:13
7
gracekitomarykito
gireekitoi💞 :
niwakati wangu wakujiokotea gari za bureee
2026-09-17 17:17:43
2
esterpaulo439
Esix💝💝 :
kila mtu suala hilohilo, acheni kututisha, mung yupo atatenda miujiza yake
2026-09-16 16:24:47
5
user1605122618587
abby chimamy :
mnakuza mambo tuombe tu sana
2026-09-17 18:09:53
2
amisindosi5
amisindosi :
mwenyez mungu awez kuturetea ukuu kwetu kwakuwa yeyendiye muweza wayote itakuja mvuatuu sio kutuangamiza
2026-09-16 16:36:36
6
magrito20
magrito :
Tuombe rehema hali sio powa natukumbuke kujenga safina
2026-09-17 16:14:09
1
user7711395081673
@@faith,👋👋 :
EE MUNGU ww ndie kiongozi wetu simama nasi, 🙏🙏🙏🙌💯
2026-09-17 18:27:15
1
g_icon15
G_ICON15 :
mungu tusaidie
2026-09-17 17:24:24
4
estermosha69
Ester Mosha :
Mungu wa mbingun usituache tunaomba utukunge na hili
2026-09-17 12:57:06
3
tinangowi
Tina Ngowi93 :
Shawa
2026-09-17 15:07:35
1
judithmollel
judithmollel0 :
Bora tupate joto jaman 😭😭 mafuriko hapana
2026-09-17 19:30:21
4
hamisgligvt
hamisgligvt :
mungu tuepushe na majanga haya jamn
2026-09-17 10:48:02
4
annatoryjulius
mama wa vanny :
jamani jamn aaaa nachoka mimi
2026-09-17 18:43:56
2
abida.maira3
Abida Maira :
Mungu atatutetea
2026-09-17 16:29:54
2
To see more videos from user @shebyranco, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About