@callmeselim24: ASUBUHI TULIVU🌥️💔🍎🍎#fyppppppppppppppppppppppp #universitylife #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #kenyantiktok🇰🇪 #viralvideo @👑♪★ℙℛℐℕℂ★ᎶℐᎯℕ★♪👑✓ @Pretty nee🦋 @MrSoldOut

MR.HANDSOME TZ🇹🇿🪫⌛️🏀
MR.HANDSOME TZ🇹🇿🪫⌛️🏀
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 05:00:35 GMT
73414
3254
558
73

Music

Download

Comments

the.great4667
papy 8 :
Daaah alikuwa anaignore BHN yule dada lakini I hope yuko gud
2026-10-17 19:38:10
0
boni15456
Boni :
kila nikimtext anaskia njaa
2026-09-16 08:03:04
49
mama_fahadi
pendo fahadi :
kwasababu nimechoka kupambania nafasi ambayo sio yangu🥺🥺
2026-09-16 17:12:08
88
mrs.v7999
Mrs V :
Kwasababu najitesa tu mwenyewe, na mtu yupo bize na maisha yake miezi 3 hatujaonana ye anasema yupo bize tu na Nina 8 month pregnant 🥹
2026-09-16 06:25:09
80
staramal1
starAmal :
aliniambia nikimpigia cm mapigo ya moyo yanaenda mbio😂😂nikaona nisiwe chanzo cha kifo chake😂😂
2026-09-16 09:56:48
30
user2373406930492
Aiem- Noor🦋 :
Nilimtumia sms bebe leo kuna bard akasema yey hahusiki na masuar ya hali ya hewa nilihs kufaint😂😂😂😂
2026-09-16 07:01:45
31
gilr423
gilr🎀🦋🌸 :
alikuw hajatulia ametupanga watatu nlimpenda san lkn maumiv yake yalinishinda😭
2026-09-16 06:16:06
26
user79343939511105
official kasalama :
alikuwa bize na mambo yake bila mm kumtafuta yey anitafuti na nikimtafuta anajibu short
2026-10-02 09:26:42
5
victakamage917
victor kamaghe :
meseji yakuachwa ilinikutia msibani weeh sijawai lilia malehem vile 🤣🤣🤣🤣
2026-09-17 11:43:25
5
user358959075247
BLack coloured skin 🌚 :
Mawasiliano jaman 😪 Niongee kwa kusimama au kukaa?
2026-09-17 10:36:32
17
nipher____2
Nipher💕🍯 :
Week Hajibu text anasem mtandao Ndio shida😂😂
2026-09-16 05:43:00
12
user23627240bayuu
ManiGa Bayuu🪖✌🏼🇿🇦26 :
Fanya yote Lkn usije ukalazimisha kuPendwa🥹
2026-09-16 19:05:08
18
user4598310285131a
amina mkoma mo :
ana wiki karibia hajanicheki na namuona kabisa online
2026-09-16 19:58:15
8
preciouslyyn
Judy💕💕 :
NIONGEE KWA KUSIMAMA AU KWA KUKAA
2026-09-16 17:09:04
8
msngajilo1
Ms ngajilo♥️ :
nilivumilia madhaifu yake lakini nilipogundua napambania nafasi ambayo siyo yangu niliamua kuachana naye mwezi sasa nimejikita kwenye kazi
2026-09-16 17:47:00
16
user6381257885082
teddy matei :
m sina chakusem mung ndo anajua
2026-09-16 17:58:26
11
rahabunashon380
Rahabu Nashon :
niliona nazid kujitesa tu af nyumban hali ngumu ikanibid niache mawazo yasio na faida nijikite kutafta hela ☺️☺️
2026-09-16 10:58:06
13
mr.ukali7
mrukali0690132439 :
28/6/2026 mazungumzo yalianza kupungua 30/7/2026 nikaona yann mie nikaamua kuacha kumtafuta hajasumbuka mpaka leo na mm nimeridhika sasa nipo single kwa sasa
2026-09-16 07:54:21
10
sheykimbe
sheydas :
aliniambia Nikubaliane tu na mwenzangu....alafu huyo mwenzangu akamvisha Pete na mm nipo tu.....nikaona acha tu nipambane na maisha wenda sio ridhik yang
2026-09-16 17:45:54
6
mpagikemarry
Chunnah💦🍓 :
Mtu ukiwa nae simu haimtoki mkononi Ila ukiwa mbali naee anajibu sms kesho 🤣🤣
2026-09-16 06:16:04
8
ollie56497
ollie💞 :
nlimwambia ukiwa free utanichek tok tr 9 july mpk leo hayup free imagine 😂
2026-09-16 19:53:37
6
zeffah_
TUNTU✅️ :
😂 Mi saivi nacheka tu, Alinipa jibu moja 🙌
2026-09-16 07:52:28
10
roseevalist436
Rose Evalist :
alikuw hanitafut nikimuuliz anasem namb ilijift nikaamua nimuache nashangaa anapig anuliz mbon sik hiz nimebadilika kwamb hajanizoea hivo sas apo nimjib nn🤣🤣🤣
2026-10-09 13:48:18
1
normanmohammed35
𝓗𝓾𝓫𝓲𝓫𝔂 𝓚𝓱𝓪𝓪𝓷 ✨ حبيب :
Wallahi kaka ameniblock bila sababu kaka na nimetoka kumbembeleza apoh apoh kaka nilimpa kila alicho kitaka nilimpenda asilimia zoote kaka mie naona alikua Ana moyo wa chuma kaka sjamfanya chochote kaka kaniblock daaah inauma saan inauma saan😭😭😭😭
2026-10-01 21:44:56
2
user6296715766816
Sarah :
Nilichoka dharau zake
2026-09-17 09:18:07
1
To see more videos from user @callmeselim24, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About