@justcoraofficial: @Pure Form magnesium + ashwagandha Glycinate, citrate, oxide… magnesium silang lahat, pero hindi ibig sabihin pare-pareho sila. 👀 #P#PureFormM#MagnesiumGlycinateM#MagnesiumA#AshwagandhaWellnessTips

justCORAofficial, RN
justCORAofficial, RN
Open In TikTok:
Region: PH
Wednesday 16 September 2026 06:03:14 GMT
326
3
1
1

Music

Download

Comments

itsmejustcoraofficial
itsmejustcoraofficial, RN :
Magnesium glycinate ashwagandha
2026-09-16 10:33:02
0
To see more videos from user @justcoraofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

HILI GOLI LA REAL MADRID LILILOFUNGWA NA EDEN HAZARD TUSIPOKUA MAKINI TUNAWEZA TUKALIKUTA PEPONI! Kwanza hili goli ni kali na ni goli bora sana, pili hili goli ukiacha uzuri wake lakini pia limefungwa na mchezaji aliekua na kipaji halisi cha mpira na sio bandia ambae ni Eden Hazard. Ngoja niwasimulie kitu kidogo kumuhusu Eden Hazard, kwanza namshukuru Mungu nimemshuhudia japo kidogo Legend Gianfranco Zola sio yule wa Napoli ya Italy ila ni yule wa Chelsea ile ya Umoja wa Mataifa. Huyu Zola ndie alitabiriwa kuwa mrithi sahihi wa jezi namba 10 ya Diego Armando Maradona pale Napoli, usisahau ata Baba wa Messi uwanjani 'Maradona' alipokua anaondoka Italia aliushauri uongozi wa Napoli viatu vyake na jezi yake asitafutwe mtu wa kupewa zaidi apewe dogo cha boli alieitwa Zola. Sasa huyu Zola mimi nikamshuhudia pale EPL alikua anafanya mabalaa ambayo Di Canio na West Ham yake alikua afanyi, huyu mwamba katika kipigo cha goli 5 ambacho Manchester United yangu ilikutana nacho miaka ile kiliratibiwa na miguu ya fundi Gianfranco Zola. Man UTD yangu golini alikua Massimo Taibi Mtaliano mwenzake anavaa mapajama kabla mla vitunguu Mark Bosnich ajafika wala Fabien Barthez kutoka Ufaransa. Zola ndie gwiji mkubwa kabla awajaja wakina Drogba, Lampard,Terry, Makelele na wengine mnaowataja wenyewe kimoyo moyo. TURUDI KWA EDEN HAZARD: Binafsi sikuwai kumuona mchezaji mwenye ubora ata nusu ya Zola ndani ya Chelsea mpaka nilipomuona Eden Hazard yule wamoto. Zola na Hazard ata ukiwatazama vimo vyao wanashahabiana. Misuli na utimamu wa mwili pia wanalingana. Umiliki wa mpira, ufundi, mbinu, uwezo binafsi, kupiga free kick, ukimya, footbal understanding mpaka jezi namba 10 walikua wanafananiana sana, na hii ndio ikawa sababu mama ya mimi kumpenda sana Eden Hazard kuliko Joe Cole ama Arjen Robben ambao mwanzo nilihisi wao ndio Zola mpya Stanford Bridge. Mwisho wa soka la Eden Hazard inaniumiza sana majeraha makubwa na ya mara kwa mara yalimaliza zama bora akiwa Real Madrid, ameondoka kwenye mpira akiwa bado kijana na bado Dunia ilikua inamdai kitu. Ni Eden Hazard, Mark Reus na Gaucho mwisho wao kwenye mpira bado unanisumbua sana akilini, niliamini tulihitaji kuendelea kuwaona.

About