@nicholoussawa0: Tabasamu langu ni ushahidi kwamba moyo wangu una sababu ya kufurahi.” CCM HOYEE

nicholoussawa0
nicholoussawa0
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 05:33:54 GMT
38108
503
95
135

Music

Download

Comments

barakamajile
molongwe majile :
huyu anaweza akawa rais, tusipo pata katiba mpya
2026-09-16 14:05:07
31
pauljulius34
Paul :
Anachekecha ela zetu 😳😳
2026-09-16 14:49:25
5
mlotijames
LIVER HEALTH & CONSULTATION. :
Hawa ndio tunaowategemea kuleta maendeleo na katiba mpya 😁😁 subutu niko nimekaa pale...
2026-09-16 12:11:19
13
mswahili007
Mkononi the big deal :
Mimi siamini kama CCM hii yasasa inawazarendo na hili taifa
2026-09-16 14:53:46
3
razacki92
Razacki :
Ccm Ndo Inataka Watu Kama Hawa
2026-09-16 15:30:13
5
samwelkavishe200
Samwel Kavishe :
Hii nihatari kubwa sana kwa Taifa
2026-09-16 15:38:33
2
kave.youb0
Kave Youb :
kwani wao wanasemaje
2026-09-16 16:44:10
0
user94961729229163
user94961729229163 :
ndo maana Nchimbi kasema tupambanie katiba mpya
2026-09-16 14:18:15
1
user5851702166957ernest
Ernest Mnkondya :
hatari sana yataka moyo kuwaamini
2026-09-16 13:59:20
1
darvoh_tz
Darv♥️h_Tz. :
WATOA POSHO WAKO KWA TV WANA WACH WATU WAO,,NDANI YA MIOYO IMAGINE WANAZUNGUMZA NN!!
2026-09-16 12:01:30
4
chafu3micharazo
Chafu3micharazo :
inalilah waina Lilah rajoun 😭😭😭
2026-09-16 16:55:44
0
fanlight462
FANKING 🤴 :
kuhusu maendeleo hapo sahau ndo waikubali katiba mpya hawa ambao haziwatoshi labda
2026-09-16 10:34:51
3
abelly82
abelly :
hiki chama kilikua kizur hapo nyuma...
2026-09-16 13:04:53
2
m_so_fe
✝️ :
huyu baba ake nani ?
2026-09-16 16:36:18
0
omujinite.com96
big joe :
kazi ipo
2026-09-16 16:12:39
1
john.baltazar30
jbm phone &accessories :
kabisa
2026-09-16 16:56:00
0
dogomanda
user6295698934965 :
ila atushangai baba levo alifanya ivyo ivyo na akapata ubunge inashindikanaje Kwa uyu
2026-09-16 16:52:24
0
user6500090862227
user6500090862227 :
wanaume wapo kwenye utafutaji wa rizki
2026-09-16 08:07:27
0
swahib876
young swaah :
hawa ndo wanatuhalibia nchi
2026-09-16 15:26:02
0
patysanga225
Paty Sanga :
nchi hii inawatu wa ovyo sana
2026-09-16 15:41:02
0
tabitha.samson75
Tabitha Samson :
yashashiba hela zetu
2026-09-16 16:39:21
0
user3736812682000
Mazua :
ngoja nisiongee tu maana
2026-09-16 15:53:57
0
user4590034068867
user4590034068867 :
ccm mazezeta kweli yameshiba kodi zetu
2026-09-16 15:50:19
0
men.abdy
Men Abdy :
huu sasa ndo mtaji wa ccm
2026-09-16 15:49:56
0
shinotedriver
SHINOTEE~DRIVER🇹🇿 :
mhuuuuuu
2026-09-16 08:16:09
0
To see more videos from user @nicholoussawa0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About