@tangawizipori: Replying to @lizzy.wakudeka Njia rahisi ya kuandaa mchanganyiko wa kitunguu swaumu, tangawizi na limao: Mahitaji: 1. Kitunguu swaumu (vitengo 2) 2. Tangawizi (kipande kidogo) 3. Limao (nusu) Jinsi ya Kuandaa: Twanga kitunguu swaumu na tangawizi. Chemsha kwenye glasi 2 za maji kwa dakika 5. Chuja, kisha kamulia limao maji yakishakuwa ya vuguvugu. 📌 Matumizi: Kunywa glasi 1 kila asubuhi kabla ya kula kitu. 📩 Unataka msaada wa faragha kuhusu miwasho na uchafu? Niandikie "INBOX" sasa hivi tukupe ushauri. #creatorsearchinsights #foryoupage #tiktokafyatips
Tangawizi pori🌿
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 05:35:53 GMT
Music
Download
Comments
& :
unachemsha au
2026-09-16 18:32:39
2
MattyKiss💜🦋💦🖤 :
vitunguu swaumu n punje mbili au viwli kama viwil vizima
2026-09-16 20:00:17
3
user3056537421598 :
nina chemsha ama ninabulendi
2026-09-21 12:04:31
2
pendo ommy :
ety m nikitumia matiti yanauma sana Huwa tatizo n Nn
2026-09-16 17:22:50
2
Mamuuh 🦋❤️ :
anayenyonyesha anatumia????
2026-09-16 13:20:47
1
Murambi faith :
Unakunywa au??
2026-09-19 13:48:38
1
laurencia95 :
maumivu wakati watendo landoa nitumie nn ?
2026-09-17 14:06:26
1
e🌹m🌹I🌹h :
watumia baada ya siku ngapi
2026-09-17 10:22:34
1
Elvari Baltazar :
mwenye vidonda asitumie arafu yanatia nyege haya mim ctak hapa penyewe sielew najiona kabisaa nina mimba situmiii tenaa
2026-09-21 11:38:06
1
naah :
Ni asbh tu au najioni
2026-09-16 16:12:52
1
Mama Wa Tina ♥️ :
mwenye vidonda vya tumbo anaweza kutumia
2026-09-17 10:22:09
1
s2020 :
je mchanganyiko huu inasaidia na fangasi?
2026-09-16 12:34:05
2
Gee❣️🥰🥰 :
Jinsi ya kukata miwasho na harufu mbaya
2026-09-16 11:54:01
2
Renee da peace 🕊️ :
Inbox
2026-09-16 08:21:23
1
Aziza Abdallah khamid :
ña kamHauko
2026-09-26 06:05:29
1
Rahma omar🫶🥰 :
na vp haiondoi Femi plan jaman sije kikaniramba 😁😁😁😁🤣
2026-09-26 20:03:36
1
Johari Kasimu :
sijaelew
2026-09-17 12:39:46
1
granaka896 :
inbox
2026-09-21 10:42:49
1
Rachel amoss yohana :
unavisaga alf una vichanganya vyote alf una kunywa au
2026-09-21 07:25:57
1
murembo dzame :
mbona mm nkikunya natoka chago uko Kwa bibi 😭
2026-09-19 17:21:00
1
cute 💝💝 J :
unakunywa au unanawa?
2026-09-18 16:10:48
1
shakila💯💯❤️🩹 :
INBOX
2026-09-16 07:03:46
1
Mary Sakarani :
natumiaje
2026-09-21 09:58:56
1
msamila :
Inasaidia nn na Nini nani unachanganya
2026-09-19 15:52:51
2
PONELA :
inbox
2026-09-16 11:57:41
1
To see more videos from user @tangawizipori, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.