@bakaboka45: #trending #football

baka boka
baka boka
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 05:41:50 GMT
78159
4444
148
220

Music

Download

Comments

gabrielmanyaji
MGrader :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] nashindwa kuelewa
2026-09-16 11:36:59
0
user7466566010301
🐽🦋Anty🐷rahama🦋🐽 :
D r naskia alizimia golin
2026-09-16 07:56:38
0
mayamaige
Maya :
😅😅😅 kumbe wanajua na kuomba dua, jana uchawi waliusahau sio😅😅😅
2026-09-16 07:47:28
30
decute517
🦋it's🌹Nino🦋 :
afu ety ukiwaambia ukwel wananuna wakat walikuwa wanaombea mpira uishe🤣🤣🤣
2026-09-16 10:02:59
19
self.312
self :
😂😂😂😂nasikia rah mm jmn
2026-09-16 07:41:11
19
luemba.asani
Luemba asani :
ila jana tumepelekewa moto jamani
2026-09-16 08:21:49
7
sadikiabdallahabd
diki :
Simba oeeeeeeee[Pray]
2026-09-16 13:49:02
0
user2192916800849
Teacher :
Is he dieing or🧐🧐🧐🧐🧐🧐
2026-09-16 10:24:24
0
mayasasimai
mayasasimai :
uwiiiiiiii showwww
2026-09-16 13:05:42
0
mamakelai
husna mkama :
acha me nistukane mto kabla sjavuka mamba😂😂😂😂
2026-09-16 08:02:40
6
jumamashombo
jumamashombo :
Tanzania yetu kumbe Kuna waarabu et
2026-09-16 06:56:24
4
officialelipidius001
officialelipidius :
kwani mtu akpgwa red sianatoka nje ya uwanja Kwa maan hausiki Kwa namna yyt na huo MCHEZO au me ndo sielew sheria
2026-09-16 08:49:22
2
babag6992
Babag :
Hivi Nyie mnaijua Kampuni inaitwa Geita Gold pale hakuna mshahara wamilion moja.Bora tumepata ata ilo goli moja Waulize Kagera Sugar Walikula Ngapi.
2026-09-16 07:56:42
2
albertolutaha
albertoj,67 :
😂😂
2026-09-16 08:27:55
0
lubabasha46
lubabasha :
timu yenye mawatapleya inakata pumzi
2026-09-16 07:10:26
8
user2347129322036
user2347129322036 :
mmeshinda lakini nmefurah sana
2026-09-16 12:58:49
2
berthareuben63gma
[email protected] :
Yaone point 3 za zuluma hiyo ilikuwa ni sale Geita kanyimwa penat ya waz
2026-09-16 10:42:05
1
user7965439858834
Aserd James :
Ndo iko hivo asa nashanga hata mimi,red card hatakiwi kuwepo hata kwa mashabiki
2026-09-16 12:03:02
1
fatuma84045
fatuma@8404 :
jaman amisa yupo wapi afate shemeji azam
2026-09-16 11:11:20
1
user5720031669537
meleji mollel :
sio kwa moto hiyo geita ni hatar huuuuuu side njooo side njooooh!!!! amezima akhi hii ni mambo ganiiii
2026-09-16 05:50:42
4
alestides62
Bad boy tz :
Ivi Geita yuko uwanja wake wa nyumbani au Yanga ndo mwenyeji
2026-09-16 07:47:07
2
asnangovi
Mrs Abeid :
😂😂😂
2026-09-16 13:03:45
0
masoud5658
masoud :
kwani kilitokea nini apo mbn km watu wanataka kulia
2026-09-16 13:49:02
1
To see more videos from user @bakaboka45, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About