@health_farm_tz: Dr. Samwel Rweyemamu, bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka JKCI, anaeleza kuhusu presha kushuka (Hypotension). Kwa kawaida, presha ya damu ikiwa chini ya 90/60 mmHg inaweza kuashiria hypotension, hasa ikiwa inaambatana na dalili kama kizunguzungu, udhaifu au kuzimia. Sababu zinaweza kuwa upungufu wa maji mwilini, baadhi ya dawa za presha, magonjwa ya moyo, kupoteza damu nyingi au maambukizi makali. Ukipata presha ya kushuka mara kwa mara, muone mtaalamu wa afya ili kubaini chanzo. ELIMIKA, HAMASIKA, CHUKUA HATUA KABLA MWILI HAUJACHOKA! CHANZO: UTV #healthfarmtz #preshayakushuka #hypotension #tiktoktanzania

health_farm_tz
health_farm_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 05:46:49 GMT
2390
65
0
6

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @health_farm_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About