@mpembacomed1: MR & MRS WAMBEA 🤣🤣#zanzibar #tanzania #Oman #fyp #creatorsearchinsights @Rashid Brown og @brayzon @Ajumy Ajumiya @saada m omar

MpembaComedy1
MpembaComedy1
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 06:34:02 GMT
365308
22207
670
1198

Music

Download

Comments

user8085992694659
Hamad bin mwalimu :
waislam tumswalie mtume muhammad💪
2026-09-16 06:42:28
435
mamybakes
mamybakes :
Hakuna watu wambea kama mke na mume siwezi lala bila kumpa umbea mumewangu 😂😂😂
2026-09-16 14:42:48
63
rahmaqfbu2y
Rahma :
anaye mkubali mpemba agonge laik
2026-09-16 06:47:55
193
jamila812120
@moon_queen :
we koma weeee😂😂😂
2026-09-16 09:49:37
14
mama.sandra256
painkiller ya ERICK :
mume wangu ukimwambia umbea akitoka hapo anaenda kumuuliza huyo mhusika akiulizwa ni nani alikwambia anasema ni mke wangu ndo kanambia nafatwa nasutwa alafu ananiambia mpka uache umbea tu
2026-09-16 22:43:00
27
nas_boy26
nas boy 26 :
tunao tumia WiFi kuangalia gonga like
2026-09-16 06:53:28
187
aminakhamisi940
MRS SAHIL❤️‍🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Mwanzo mzuri lkn mwisho wake nyie kilio🤣🤣🤣🤣
2026-09-16 07:12:17
52
mariamu.abdul.rah
mariamu abdul rahmaan :
siku zote mtoto ni wa mama baba hana mtoto
2026-09-16 09:12:07
26
mzanzibar27
Sadrick haji*🪶* :
Ndoto ya kila mwanamke kuolewa na mwanaume mmbea 😂😂😂
2026-09-17 07:51:25
9
nu.wii1
nu wii :
ama kweli mungu anakupa wa kufanananae
2026-09-16 18:08:52
18
fatimakingube1
Fatima Hamis kingube :
muhehe wangu hapendi umbea yaan ukianza tu anakustopisha nataman nimpe talaka
2026-09-17 09:44:40
6
mary.minja2
Mary Minja :
yaani wanandoa wakiwa wambea ndoa inadumu
2026-09-16 07:29:55
23
user1748769088719
user1748769088719 :
mbona mm mungu hakuni bariki na mume mbea mm jamani
2026-09-16 18:49:23
8
sandrabeib36
Sandra bby :
ila umbea😂😂
2026-09-17 04:43:08
5
shema735
Shemally :
ata kama masikini ntatafuta pesa tupime DNA😂😁
2026-09-16 06:58:05
36
shaury558
SHAURY :
Allahumma swali allah Muhammad wallaayei wassalam
2026-09-18 06:52:49
5
mustajei
MUSTAFA JEI :
mznifu huowa mzinifu mbea huolewa na mbea tuwe makini😃
2026-09-16 07:35:36
11
saidabdalla435
SAID ABDALLAH :
tunao tumia bando letu kumuangalia mpemba gonga like apa
2026-09-17 07:57:36
5
rahmakhamissrahma
Rahmakhamiss Rahma :
tunaomkubali mpemba tujuane kwa like
2026-09-16 12:22:17
11
yodulit
Duli :
Mara ya kwanza kukubaliana 😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-16 14:59:43
6
immisskinye0
user9707923226129 :
mpemba ushike adabuyoooooo utatukata mbavuuuuuu😂😂😂😂😂
2026-09-16 08:23:06
13
baddest5874
Ob_raw :
Mimi na bibi yangu in the future, sai ni mm na dadazangu🤣🤣🤣🤣
2026-09-16 07:59:41
13
_ladies_world
Mammy 💖 :
Mpemba ndo uweke mkono juu ivo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-16 09:00:32
7
ukbrother14
Uk-Brother :
Dah iyo ndio raha ya mke na mume😁😂
2026-09-16 07:04:16
8
user2205161639020
user2205161639020 :
umbea nao sikazi
2026-09-16 07:15:11
5
To see more videos from user @mpembacomed1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About